Lordrank
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 453
- 247
Sasa si Bora tumekaa na akina zouma, Rudiger, Christensen, fikayo, James, Alonso, Azp(c), Emerson lakini siyo garasa Phil Jones mkuu.We una amini maneno ya huyo punguwani
Sasa si Bora tumekaa na akina zouma, Rudiger, Christensen, fikayo, James, Alonso, Azp(c), Emerson lakini siyo garasa Phil Jones mkuu.We una amini maneno ya huyo punguwani
Hii team kweli haina wachezaji kila siku first Eleven yabadilika hi team au wafanyakazi wa kiwandan wanaoenda kwa shiftKuna taarifa kuwa dogo Lewis Bate kutoka Chelsea U23 amejumuishwa kwenye kikosi cha leo dhidi ya Sheffield United. Anacheza katika nafasi ya MC ama LB nadhani amechukua nafasi ya Gilmour. Dogo yuko vizuri sana hasa kwenye pasi zile ndefu, kipaji kizur sana hiki. Natumai atapewa nafasi hii leo.
Hawa madogo walio katika academy zetu muwe mnawafatilia na wao. Sio mnakaa mnawafatilia kina Abraham aka takataka ama lile lioka mikake






Nasikia wachezaji wanacheza kwa shift Abraham leo ni shift yake Giroud mpaka FANaomba Mungu aanze leo Giroud sio Abraham atutaki masuala ya kukosa magoal ya wazi wazi,akianza tu Abraham tegemeeni magoal ya kukosa kosa Lampard asituangushe.
Cash Money Forever
Papaa Gx
lembu
Ollachuga Oc
ENZO
LONDON IS BLUE


Naona Bruno sikuhizi anakupa jeuri Mpaka kuja jukwaa letu.Nasikia wachezaji wanacheza kwa shift Abraham leo ni shift yake Giroud mpaka FA![]()
Lazima wapigwePiga chelshit hao
Tukutane baadayeSheffield United must win today![]()
Patanoga kama hamtakimbia tu!Najiandaa kuweka kambi hapa ..