lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,489
Nimefurahi sana!Daah kweli kabisa man. Lakini ndio hatuna namna leo Southampton amkazie Man watoke hata draw itakua ni faida kwetu.
Nimefurahi sana!Daah kweli kabisa man. Lakini ndio hatuna namna leo Southampton amkazie Man watoke hata draw itakua ni faida kwetu.
Na nyie ni...........................Aya nyie cheltako leo mnatolewa rasmi kwenye nafasi mliyomshikia bwana wenu
Je waliutunza huu ujumbe au walitukana?Tuta bounce back na nafasi yetu iko palepale hakuna wa kuweza kuichukua, pambaneni na hali zenu kwanza
Haa haaa nyie ni rojo, Bournemouth waliwala janaNyie viazi hamna team![]()
Huna haja ya kuwafukuza hawa, watajifukuzisha wenyeweHahahahahammetusema sana, mmetunanga sana, mmetutukana sana, kwamba sisi hatufai, takataka, viazi, bomu la kutupwa, tumekata uno.
Kashfa zote tumezipokea, tunafahamu timu yetu ni mbovu, uwezo wa kumaliza top 4 tumemwachia Mungu.
Haya tunaomba mrudi kwenye majukwaa yenu, mtupishe tujadili uozo wa mechi ya jana.
Mungu amejibu maombiNimefurahi sana!
Sasa ninyi ndio mngetaka apigwe BAN si ndio?
Waliteseka sana jana alafu ni Home groundManure 2 Southampton 2
Hata hivyo Manure mpaka walikofikia wamejitahidi sana

Kipindi cha pili hawakuwa na on target hata moja au nmeelewa vibaya
Hiyo ilikuwa ktk dkk za 70 hivi ila full 2nd half ni hiiKipindi cha pili hawakuwa na on target hata moja au nmeelewa vibaya

wamepigiwa pira la kufa mtu hapohapo uwani kwao,hawajapiga ontarget hata mojaSidhani kama Tomori ataanza, ndio tu katoka majeruhi. Christensen anaweza kuanza kwa maana yuko fitLeo tunacheza na Norwich city ambayo imeshashuka daraja, kocha na wachezaji wao wameshavunjika moyo.
Kazi kwetu Chelsea kuingia kwenye hii mechi kwa kusaka point 3 muhimu kwa hari, moyo na nguvu kubwa.
Kuna wachezaji wa Norwich city watataka kuonyesha juhudi binafsi kuzishawishi timu zinazobaki ligi kuu ziwanunue, pia timu yao itacheza very comfortable hawana tena la kupoteza, wakavuruga mipira matokeo yake tukapanda mlima.
Lampard asiwadharau hawa Norwich akapanga kikosi dhaifu tutambulia aibu.
Zaidi Lampard ajipange kimbinu, awaandae wachezaji kiakili na kimorale.
Pulisic - Giroud - Willan
Kovacic - Joginho - Mount
Azipu - Tomori - Zouma - James
Kupanga tomori.james na azip kwa pamoja inakuwa ni ngumu kidogo.. Kwa maana hao wote ni wafupi mipira ya juu inawasumbua...Leo tunacheza na Norwich city ambayo imeshashuka daraja, kocha na wachezaji wao wameshavunjika moyo.
Kazi kwetu Chelsea kuingia kwenye hii mechi kwa kusaka point 3 muhimu kwa hari, moyo na nguvu kubwa.
Kuna wachezaji wa Norwich city watataka kuonyesha juhudi binafsi kuzishawishi timu zinazobaki ligi kuu ziwanunue, pia timu yao itacheza very comfortable hawana tena la kupoteza, wakavuruga mipira matokeo yake tukapanda mlima.
Lampard asiwadharau hawa Norwich akapanga kikosi dhaifu tutambulia aibu.
Zaidi Lampard ajipange kimbinu, awaandae wachezaji kiakili na kimorale.
Pulisic - Giroud - Willan
Kovacic - Joginho - Mount
Azipu - Tomori - Zouma - James
Norwich United
Nyie, leo kuna jitu litang'ang'aniwa tu.

acha kukariri vibaya wewe. Leo anakufa goli si chini ya 5Mbili akae azpi, Tatu akae AlonsoKupanga tomori.james na azip kwa pamoja inakuwa ni ngumu kidogo.. Kwa maana hao wote ni wafupi mipira ya juu inawasumbua...
Hiyo 3 katika jezi itaplay part gani leoacha kukariri vibaya wewe. Leo anakufa goli si chini ya 5

?