dimatteo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 868
- 935
William,Timori,kepa,moint,Abrahamalimpunzisha nani?
William,Timori,kepa,moint,Abrahamalimpunzisha nani?
Mount, Abraham walicheza...kiufupi mlipunzisha wachezaji wawili na sisi tulipunzisha mmoja De geaWilliam,Timori,kepa,moint,Abraham
alimpunzisha nani?
Alimpumzisha Kante,Kepa,William ,Azpicul ,Rudigar ,Tomori na waliocheza hawakutumia nguvu kubwa,pia Mount,Tammy waliingia kipindi cha pili na uzoefu wa Chelsea ya sasa kipindi cha kwanza wanamaliza gamealimpunzisha nani?
Uhalali UPI? Kumbuka mechi ya Norwich inafikia hatua Ole anasema penalty ya kwanza haikuwa halali,Mimi nani hata nikatae mawazo ya kocha mkuu wa Utdzilikuwa halali au sio?? kama halali haijalishi hata kama zikiwa 100/ match
Lampard hakupenda kuendelea kubaki carabao ndo maana alipuuza maana Chelsea ina mashindano mengi sana
Baada ya kuona mke mmoja hatutoshi,tuliongea na mke mkubwa Arsenal akaturuhusu tuoe Chelsea kama mke wa pili.
Tutarudi tena hapo darajani kuchukua point zilizobaki.



King Gwaba na malafyale siku izi wamekimbia huzi wetu. Kuna siku king Gwaba alisema Pulisic hana kitu ni wa kawaida sana.
Nami namkumbusha tu kuwa.
Pulisic mechi 4 alizocheza.
3 assists
3 goals
Hebu Tujadili hapa Lampard Atumie Falsafa IPI na Akina nani waanze na nani waamzie Bench katiki Game ya Kesho ili Chelsea iweze kusonga mbele?? Tujadili kimpira bila Mapenzi.. Karibuni.
Next match round 16 carabao cup
Chelsea vs man u saa 23:05
Ndo wakati mzuri wa kulipiza kisasi cha goli 4 kwa man u.
- Kuna watu walitusimanga sana kuhusu kuondoka kwa Hazard timu itapwaya
- Kuhusu ban ndio tutashuka daraja
- Sasa tukawaongezea na majeruhi ya akina Rudiger, Ng'olo Kante, RLC na wengineo kibao
- Pamoja na hayo yoote matatu hapo juu sisi Chelsea tunashinda tu mbele kwa mbele
Nowadays ukikutana na Chelsea ukatoa sare inabidi uagize kitimoto na Pepsi bariiidi
Chelsea sasa imekaa kiushindi ushindi. cleansheet ni majaliwa.
Mumefanikiwa kusonga Ugali
Iyo kazi tuachie sisi ...awa wakina mama wanakuja geto lazima walale bila nguo.
Kwani mbappe ana miaka 21 ..
Ngoja tuone leo uyo atarukarukaje?
Habari za siju ndugu. Kuna kitu naomba niongee na mashabiki wenzangu wa mpira hasa kuhusu game ya jana.
Kiukweli kupoteza game ya jana hata mimi imeniuma mno hasa tumepoteza darajani inaniuma mno. Lakini kuna kitu mimi nakiona na kinanipa faraja kwa kujaribu kuangalia upande wa pili katika hili swala. Kwanza tumepoteza game sababu ya kwanza ni kikosi kilichoanza na mimi silaumu kwa sababu ndio kinachohitajika inasaidia wachezaji wengine wapate nafasi ya kucheza na hata kujua potential zao. Tukumbuke tunacheza UEFA wiki ijayo na Ajax what if jana Tomori/ Azpi au Mount wangeumia? Haya je kama Lampard angeanzisha kikosi cha kwanza tungeujua vip uchovu wa Pedro?
Ninachosema si kwamba hii mechi haikua na umuhimu ila tujaribu kuangalia na upande wa pili. Mfano msimu uliopita sisi ndio tumtoa Liverpool kwa goli murua la ushindi kutika kwa Hazard ile mechi wote kwa asilimia kubwa tulianzisha wachezaji wa kikosi cha pili lakini sisi ndio tulibahatika tukapata ushindi Anfield. Ninachokiona Lamps ana priority kwa baadhi ya mshindano kama ilivyo msimu uliopita kilichofanyika kwa Liver. So sioni shida kabisa bado tupo kwenye nafasi nzuri, kama sisi tulivyowakejeli mwaka jana Liver tulivyowafunga kwao basi tutambue wakati huu hata manyumbu yatakuja kutupiga majungu humu. Jibu ni moja tu LEVELS huwezi fananisha UEFA na Futuhi ya brother K.



