Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimemuadd kwenye ignore list. Staki kuona comments zake za kipumbavu mpira hajui.

Mtu akicomment negative kile unachokipenda mpira hajuinyambaf

Dawa ya matatizo sio kuyakimbia ni kuyatatua ,sasa hata ukiignore hakutapindisha ukweli kuwa nyinyi bado sana
 
Sasa Wewe unajua nini?
Tatizo letu sisi wabongo ndio hili kila mtu anajiona anajua kuliko mwenzake maana hata mimi nakuona bonge la mburula usiyejielewa hata kidogo mwenye akili za kuvukia barabara tu.....
Kiufupi wewe ndio kiazi,kihande na kichaa kabisa kabisa na usiwe unarukia rukia mada usizozielewa zilipoanzia,
Mimi nimezungumzia WORST DEFEAT za hivi karibuni huyo mwenzako analeta mjumuisho wa ligi nzima...

Na wewe ukaparamia tu ...
Unajua nini? we dogo ni mpumbavu, hujui chochote kuhusu mpira, unachojua ni mipasho tu. Jifunze kw wenzio sio unarukaruka tu hapa na ww uonekane umecomment kuhusu mpira, mpuuzi tu.
 
Unajua nini? we dogo ni mpumbavu, hujui chochote kuhusu mpira, unachojua ni mipasho tu. Jifunze kw wenzio sio unarukaruka tu hapa na ww uonekane umecomment kuhusu mpira, mpuuzi tu.

Wewe unajua nini boya sana we jamaa,shenzy kabisa....inavyoonekana nyie ndio munaorushaga ngumi mkitaniwa kidogo tu nyambaf....sasa hapo ndio umeandika mashudu gani?🤣🤣mpumbavu ni wewe ambaye katika jukwaa la soka unaleta matusi,

Na kichaa siku zote huona wale waliokuwa wazima ndio vichaa

USITAKE KULAZIMISHA WATU WACOMMENT UNACHOKIPENDA TU,JIFUNZE UVUMILIVU DOGO
 
We ni mpuuzi hata mimi nilishakwambia , ila kwa vile umejaza kinyesi kwenye hilo fuvu lako hutaelewa kitu
Wewe unajua nini boya sana we jamaa,shenzy kabisa....inavyoonekana nyie ndio munaorushaga ngumi mkitaniwa kidogo tu nyambaf....sasa hapo ndio umeandika mashudu gani?mpumbavu ni wewe ambaye katika jukwaa la soka unaleta matusi,

Na kichaa siku zote huona wale waliokuwa wazima ndio vichaa

USITAKE KULAZIMISHA WATU WACOMMENT UNACHOKIPENDA TU,JIFUNZE UVUMILIVU DOGO
 
Lini????unataka tulete history???utakimbia wewe,kiufupi hakuna ambaye hajapigwa kipigo cha mbwa mwizi ila tunazungumzia msimu huu????afadhali hata ungesema msimu uliopita uliogongwa 6 buyu na city 4 buyu na bournamouth wewe unarukia miaka ya 47 hko zilipendwa
mbona makombe ninyi huwa hamtaki ya current mnataka ya zilipendwa
 
We ni mpuuzi hata mimi nilishakwambia , ila kwa vile umejaza kinyesi kwenye hilo fuvu lako hutaelewa kitu

Vichaa ni lazima wateteane hata kama wanatetea ujingakuniita mimi mpuuzi ilhali wewe ndio mpuuzi kamwe haitabatilisha upuuzi wako
 
Alichoboronga hapo ni matokeo ya Chelsea na inaonyesha jinsi ambavyo haijui Chelsea vizuri bado anaidhania Chelsea ni ile iliyocheza na Man U kwenye ufunguzi.. Ushabiki na utabiri wapi na wapi
Agiza kinywaji chochote isipokuwa pombe waambie waniletee bili.
The blues ya sasa hivi ni habari nyingine
 
Abraham sub batshuay not Giroud
Hebu Tujadili hapa Lampard Atumie Falsafa IPI na Akina nani waanze na nani waamzie Bench katiki Game ya Kesho ili Chelsea iweze kusonga mbele?? Tujadili kimpira bila Mapenzi.. Karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom