OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,323
Hahahaha hii Arsenal inamtegemea Auba tuuAll.
Kesho akipangwa anascore tena. Ila natamani tungekutana na nyinyi hiyo kesho huyo bwana Arizabalaga watu wajitungulie mbali
Kesho mnapigwa tena[emoji23][emoji23][emoji23]