Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea ingekuwa katimu kidogo kama Arsenal, Man U ya sasa, Spurs watu wasinghamia huku
Hii inaonyesha jinsi Chelsea ilivyo big club na inaogopeka EPL, UKWELI ndio huo, mijitu imejazana humu utadhani Jamii forums kuna uzi wa CHELSEA tu!
Nikipitaga huko kwenye nyuzi nyingine hasa ya Arsenal na Man u kuna ukiwa sana kwa sababu ya misiba ya mara kwa mara inayowakumba majirani zetu mpaka majirani wamechoka kwenda kutoa pole
 
Hamna jema nyiewatu wasipokuja munatamba kuwa wamejipiga ban🤣🤣wakija mudai mnafatwafatwa kwasababu timu kubwa hahahahahahajuzi tu si nyinyi ndio mlikiwa mnasema Aaron kajipiga ban????wakati mwenzenu yupo bize na timu yake hawezi kudili na vitimu vidogovidogo kama Chelsea......

Hapa mimi nakujaga kuwacharula tu,,, ila majukwaa ya maana ni Liverpool kule utakutana na nondo za kina MosDef , King Ngwaba , Captain Marvelous n.k ukienda Man utd unakuta CHIEF MKWAWA na wajukuu zake kina radika n.k wanashusha nondo za kufa mtu muda mwingine unashia kusoma tu unapata elimu unalike unaenda zako,jamaa wapo vizuri sana hawanaga personal attack yaani wao ni soccer tu.....

Msema kweli kipenzi cha Mungu hata hapa mkuu lembu , Southern Highland na Ollachuga Oc mpo vizuri ila muna cha kujifunza kwa niliowataja hapo juu ili kuboresha jukwaa lenu hili🤭
Au muwe munatembelea kule kwa majirani zenu Arsenal the Gunnerz muongeze elimu

Nyinyi ni jirani zangu ,ndugu zangu,watani zangu so nitakuwa napitapita kutia zile kero za utani wa hapa na pale....... MSINICHOKE
 
Mkuu mbona maneno maneno mengi....

Hiyo haitobatilisha kuwa umefungwa
Mara kikosi cha kwanza ,mara futuhi,wale waliocheza ndio wachezaji wenu hata angecheza nani mungechabangwa tu,kwani mlivyogongwa 4 buyu Tomori hakuwepo eti eeeehhhh??????
Soma upya nilicho andika usikaze kichwa relax.
 
Hivi Higuaín si alicheza miezi sita tu halafu akatwaa kombe la Europa?
Chelsea ni timu nzuri sana Yaani hata akina Zapacosta, Drinkwater walipita tu wakapata kombe kwa majina yao kupitia Chelsea
Ndio maana Mikel alikaa benchi miaka 10 akatoka na makombe kibao
 
Next match round 16 carabao cup
Chelsea vs man u saa 23:05
Ndo wakati mzuri wa kulipiza kisasi cha goli 4 kwa man u.
Huyu jamaa analundo la mapanado pembeni hadi muda huu yupo hoi wazee wa matokeo mfukoni utachana sofa maana kwako hamna viti kama uwanja wa taifa ungeng'oa
 
Wanacheza Europa, mashindano ya timu ya watoto na wale wanaotafuta fitness wakitokea majeruhi halafu na wao wanasema wako na mashindano mengi
Kujifariji muhimu baada ya kupigwa baki tu baki wakat juzi tu huko timu lako lilikuwa huko na ulikuwa hulali kila alhamisi kwenye futuhi na unarudi tena mwez wa pili
 
Huyu jamaa analundo la mapanado pembeni hadi muda huu yupo hoi wazee wa matokeo mfukoni utachana sofa maana kwako hamna viti kama uwanja wa taifa ungeng'oa
Kufungwq ni sehemu mojawapo wa mchezo
Na kufungwa kwa chelsea hakujaniathiri kisaikolojia
 
Hao vilaza wanaoshabikia sisi kufungwa nawashangaa.

Tumepigwa Ban ya usajili
Tumeondokewa na Hazard.

Hivi Arsenal na Man u mngepigwa ban ya usajili mashabiki si mngekuwa mnashinda makanisani na msikitini kumlilia Mungu wenu timu isishuke daraja.
Watu kama hao hakuna haja wa kuwaquote ni wa kuwapotezea 2 kwa maana tutakuwa tunashindana na machizi
 
Kujifariji muhimu baada ya kupigwa baki tu baki wakat juzi tu huko timu lako lilikuwa huko na ulikuwa hulali kila alhamisi kwenye futuhi na unarudi tena mwez wa pili
Hahahah... chelsea haendi europa this time... tena ataongoza kundi... mechi ijayo itaamua
 
Ahahhaaa unateseka sana

Futuhi sisi haturud subili jumanne tuongoze kundi
Kujifariji muhimu baada ya kupigwa baki tu baki wakat juzi tu huko timu lako lilikuwa huko na ulikuwa hulali kila alhamisi kwenye futuhi na unarudi tena mwez wa pili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom