Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yaani katika uliowataja hapo kiukweli ni Kante tu ndiyo anatisha hao wawili ni makopo.

Kopo moja lina homa ya vipindi kopo jingine liliachwa na timu kubwa duniani. Sikia, mchezaji mkali akiwa Chelsea ataenda Madrid, kama Hazard na sasa hivi Kante anatakiwa. Mchezaji mbovu akiwa Madrid ataenda Chelsea, mfano Morata na huyu Kovacic.

Emery ana tatizo la kuwapa watu positions zisizo zao au kupanga maandazi. So mlicheza na Toreira ndiyo ila hakua position yake.
nilikua najua kuna unajuaga kumbe wewe huna tofauti na kina DullyJr.

Dan Ceballos na Ozil ni wabovu hao? Hebu acha kukariri wewe. Essien alienda Madrid akiwa keshachoka na katumika kupita kiasi akiwa Chelsea.
 
Naona kijana unaongozwa na ushabiki kwahiyo unataka kuniambia di Maria, ozil, khedira, James Rodriguez ni wachezaji wa ovyo ndo maana wakauzwa na Real Madrid?
Tatatibu utaelewa tu.

Kwa Uingereza Arsenal ni timu ya tatu kwa wingi wa makombe Man U ya pili. Juve ni timu yenye historia nene huko Italy na duniani kwa ujumla, PSG ni kama Madrid ya Ufaransa, inakusanya nyota watupu.

Haya hao wachezaji uliowataja wapange timu walizoenda.
 
Naona kijana unaongozwa na ushabiki kwahiyo unataka kuniambia di Maria, ozil, khedira, James Rodriguez ni wachezaji wa ovyo ndo maana wakauzwa na Real Madrid?
Halaf we dogo dogo centre usiniite mi kijana hahahaha mi ni babu aisee
 
Na ndio invyotakiwa Mkuu, Kocha anatakiwa awe na headache katika machaguo kwa kuwa wachezaji wote wanapiga kazi

Ila akipona Kante na Loftus nadhani atakuwa na uwezo wa kucheza mfumo wa 4-4-2 (Diamond) kwa urahisi zaidi.
Karibu mkuu ulilisusa jukwaa lako kitambo sana
 
nilikua najua kuna unajuaga kumbe wewe huna tofauti na kina DullyJr.

Dan Ceballos na Ozil ni wabovu hao? Hebu acha kukariri wewe. Essien alienda Madrid akiwa keshachoka na katumika kupita kiasi akiwa Chelsea.

Ceballos na Ozil ni wazuri. Asante kwa kukubali, ila je wanapangwa?

Basi kama hivyo nyinyi na Madrid hamjaanza kuuziana magalasa leo kumbe.
 
Niwapongeze Chelsea kwa ushindi mzito Burnley nyumbani kwao ni wagumu aliyeshuhudia game zao nyumbani anajua hilo ushindi wa goli nne ni mkubwa sana .Blue is the color sasa binadamu wanamuelewa pulisic ni nani,vijana wetu wanafanya football kuwa mchezo rahisi sana

King Gwaba na malafyale siku izi wamekimbia huzi wetu. Kuna siku king Gwaba alisema Pulisic hana kitu ni wa kawaida sana.

Nami namkumbusha tu kuwa.

Pulisic mechi 4 alizocheza.

3 assists
3 goals
 
Patnership ya Jorginho na Kovacic imeshaklick tayari, sijui akipona Kante itakuaje, Kova akae bench, acheze Jorginho na Kante, au Kante aendelee kuwa bench,
Lampard namuonea huruma yupo dilema kwa sasa kupanga kikosi

Mkuu ukiwa na kikosi kipana na ukawapa wote nafasi kwa maana ya Rotation hakika wachezaji hawatachoka pia watakuwa na furaha kila kikucha. Kwani watakuwa na namba kila wakati. So kocha asibweteke aweke tu rotation kulingana na opponent anayokutananao. Kuna michezo mingi sana ya kushiriki.

Kuna karabao, FA, Epl na champion league.
 
Sasa Kama ni hivyo mbona mnalaumu ozili apangwi na kocha lakini pia torreira alicheza but mbaya nae akapotezwa Kama upepo alafu wewe huna midfield ya kapambana na Chelsea kabisa hata ambao unasema hawapangwi yupi midfielder wako anaeweza kupata namba kwa watu Kama kante, gorginho na kovacic sema tu ukweli.

Akikujibu unitaq na mimi
 
Tatatibu utaelewa tu.

Kwa Uingereza Arsenal ni timu ya tatu kwa wingi wa makombe Man U ya pili. Juve ni timu yenye historia nene huko Italy na duniani kwa ujumla, PSG ni kama Madrid ya Ufaransa, inakusanya nyota watupu.

Haya hao wachezaji uliowataja wapange timu walizoenda.

Aise madrid wanahistoria kubwa kushinda psg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom