Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ukumbuke wewe uliwekwa nane mkuu

Lini????unataka tulete history???utakimbia wewe,kiufupi hakuna ambaye hajapigwa kipigo cha mbwa mwizi ila tunazungumzia msimu huu????afadhali hata ungesema msimu uliopita uliogongwa 6 buyu na city 4 buyu na bournamouth 🤣🤣🤣🤣wewe unarukia miaka ya 47 hko zilipendwa
 
Sasa Pulisic leo tu ana goal tatu KUBWAAAAA ..uyo Pepe ana tofauti gani na Rashid?
Wewe toka rashford akutungue akili yako haitulii kabisa muone mwanasaikolojia hata asipocheza bado unaweweseka tu miaka 21 tayar kafikisha goli 50 ukiacha mbape kinda yupi kafika huko? Acha woga
IMG_20191027_201322.jpeg
 
Maisha yanaenda kasi sana CHELSEA anataka LIVERPOOL na CITY wadondoshe point. Tufukuzie ubingwa

ARSENAL anaomba Mungu CHELSEA adondoshe point aingie top 4, ashiriki UEFA CHAMPION.

Bado sana yani sanaaaaaaaaaa.......ligi mbichi
 
Lini????unataka tulete history???utakimbia wewe,kiufupi hakuna ambaye hajapigwa kipigo cha mbwa mwizi ila tunazungumzia msimu huu????afadhali hata ungesema msimu uliopita uliogongwa 6 buyu na city 4 buyu na bournamouth wewe unarukia miaka ya 47 hko zilipendwa
So kipigo cha goli 8 kutoka kwa man u kilikuwa cha miaka 47 iliyopita?

Au ndo unataka ujitoe ufahamu kuwa haujawahi kupigwa goli 8
 
Lini????unataka tulete history???utakimbia wewe,kiufupi hakuna ambaye hajapigwa kipigo cha mbwa mwizi ila tunazungumzia msimu huu????afadhali hata ungesema msimu uliopita uliogongwa 6 buyu na city 4 buyu na bournamouth wewe unarukia miaka ya 47 hko zilipendwa
Umeshasahau ulipigwa goli 6 kavu dhidi ya chelsea bila kusahau na finali ya ligi ya europa ukapewa dozi 4 bila majibu mwaka huu

Kabla haujahukumu jiangalie kwanza wewe.
 
  1. Kuna watu walitusimanga sana kuhusu kuondoka kwa Hazard timu itapwaya
  2. Kuhusu ban ndio tutashuka daraja
  3. Sasa tukawaongezea na majeruhi ya akina Rudiger, Ng'olo Kante, RLC na wengineo kibao
  4. Pamoja na hayo yoote matatu hapo juu sisi Chelsea tunashinda tu mbele kwa mbele
 
Ilikuwa mwaja gani? na wewe hizo goals 8 umegongwa mwaka gani?
Sasa ukileta habari za miaka wewe ndio una worst defeat iliyo current kbs yan bado ipo sealed hahaha juzi tu ulitapanywa 6 O'clock na city then 4 O'clock na Bournamouth hahahaaaaa game mbili ukawa umekufa 10-0 aiseeeehhhhh,hii ni timu au punch bag?????
 
Huyo aliyegongwa 10-0 akaja akakugonga chuma 4 BAKU... jishtukue basi....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom