Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Na akamaliza top three, juu ya vutimu pori
Sasa ukileta habari za miaka wewe ndio una worst defeat iliyo current kbs yan bado ipo sealed hahaha juzi tu ulitapanywa 6 O'clock na city then 4 O'clock na Bournamouth hahahaaaaa game mbili ukawa umekufa 10-0 aiseeeehhhhh,hii ni timu au punch bag?????
 
Hebu Tujadili hapa Lampard Atumie Falsafa IPI na Akina nani waanze na nani waamzie Bench katiki Game ya Kesho ili Chelsea iweze kusonga mbele?? Tujadili kimpira bila Mapenzi.. Karibuni.
 
Mwaka jana Chelsea ilifungwa jumla ya magoli 39 hiko kikundi chako cha wahuni na wababaishaji walipigwa 51
Mwaka juzi Arsenal katobolewa 51 Chelsea 38
 
Waambie Chelsea ilikuwa timu ya tatu bora kwa EPL mwaka jana. Na itaendelea kuwa hivyo mwaka huu. Wao furaha yao ni kupiga umbea sisi tunacheza mpira na kukusanya makombe

Munayo mangapi?🤣🤣🤣
 
Mwaka jana Chelsea ilifungwa jumla ya magoli 39 hiko kikundi chako cha wahuni na wababaishaji walipigwa 51
Mwaka juzi Arsenal katobolewa 51 Chelsea 38

Ndio nini sasa????hiyo ndio shida ya kukurupuka bila kuangalia jumbe zilizopita
 
Hebu Tujadili hapa Lampard Atumie Falsafa IPI na Akina nani waanze na nani waamzie Bench katiki Game ya Kesho ili Chelsea iweze kusonga mbele?? Tujadili kimpira bila Mapenzi.. Karibuni.

Tukamate middle pale...halafu mabeki wawe makini sana kwenue counter maana kesho ndo itakua silaha kubwa kwa manyumbu...Rashid&Martial
 
Mwaka jana Chelsea ilifungwa jumla ya magoli 39 hiko kikundi chako cha wahuni na wababaishaji walipigwa 51
Mwaka juzi Arsenal katobolewa 51 Chelsea 38
Unapoteza muda wako tu mkuu, huyo jamaa namuonaga ni kiazi tu hajui chochote zaid ya mipasho. sijui hat km kakuelewa Kwanza hajui timu yake anayoishabikia ipo ktk hali gani? Angejua ipo ktk hali gani hata asingethubutu kuongea chochote hapa, namuonaga km mwezi mchanga vile.
 
Asee, yani nitasikitika kweli kama mkipigwa tena na nyumbu hapohapo kwenu. Msiniangushe tafadhali, tulale kwa amani. Maana yale majamaa mechi mbili tu ishaanza kuwa TABU.
 
Penaldo
Screenshot_20191030-024334.jpeg
 
Unapoteza muda wako tu mkuu, huyo jamaa namuonaga ni kiazi tu hajui chochote zaid ya mipasho. sijui hat km kakuelewa Kwanza hajui timu yake anayoishabikia ipo ktk hali gani? Angejua ipo ktk hali gani hata asingethubutu kuongea chochote hapa, namuonaga km mwezi mchanga vile.
Sasa Wewe unajua nini?
Tatizo letu sisi wabongo ndio hili kila mtu anajiona anajua kuliko mwenzake maana hata mimi nakuona bonge la mburula usiyejielewa hata kidogo mwenye akili za kuvukia barabara tu.....
Kiufupi wewe ndio kiazi,kihande na kichaa kabisa kabisa na usiwe unarukia rukia mada usizozielewa zilipoanzia,
Mimi nimezungumzia WORST DEFEAT za hivi karibuni huyo mwenzako analeta mjumuisho wa ligi nzima...

Na wewe ukaparamia tu ...
 
Huyo aliyegongwa 10-0 akaja akakugonga chuma 4 BAKU... jishtukue basi....
Achana naye huyo anataja vipigo ambavyo tangia aanze kushangilia arsenal yake hajawah kuishuhudia arsenal akimfunga chelsea goli 6 buyu.

Halafu bado anaendelea kupayuka pumba zake za ajabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom