Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bado Chelsea haijapata consistency inavyotakiwa, pia tusisahau kikosi tulichokuwa tunacheza nacho kilikuwa kina uzoefu mkubwa kwa big matches kuliko kikosi cha leo cha Chelsea
Apa tujiandae kuitwa majina vibonde, wanawake, cjui nini... kelele zao cunajuaaaaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poor cheltako fc, mnapigwa kwenu mbele ya wake zenu na watoto wenu poor chelwowowo
 
Goli la kwanza la Alonso, jamaa hayuko serious
Goli la pili la Pedro, anastahili kukaa benchi mpaka astaafu
Timu B ilikuwa mazoezini leo, hakukluwa na Morale ya kufunga, walicheza vizuri uwanjani lakini kule mbele hawakuwa na haraka
 
Vijana wamecheza vizuri Ila watacheza vizuri zaidi game ya EPL ,next stop ni Watford tunajiongezea point tatu muhimu ,cha msingi Lampard anaendelea kujifunza kucheza big games
 
Pia tukumbuke tuna game kubwa ya champions league kujitoa sana kwa vijana haswa midfield yetu jorgihno na Kova ingeweza kuleta fatigue kubwa tungeweka nguvu zetu zote ajax wanaweza kutupiga 4+ ,pia makombe haya currently ni magumu man city pekee anayaweza kwa kuwa kikosi chake ni kizito,blue is the color
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom