Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hao vilaza wanaoshabikia sisi kufungwa nawashangaa.

Tumepigwa Ban ya usajili
Tumeondokewa na Hazard.

Hivi Arsenal na Man u mngepigwa ban ya usajili mashabiki si mngekuwa mnashinda makanisani na msikitini kumlilia Mungu wenu timu isishuke daraja.
Msimu wa sari si mlikuwa mnasajili na hazard alikuwepo umefungwa na manchester united hapo hapo kwako 2-0 na man city kakupiga goli 6 hazard ndani kutokusajili au kusajili si kigezo cha kufanya vizur au vibaya na ulipigania top 4 had mech ya mwisho madrid na wakina hazard wa gharama kafa kwa real mallorca
 
Soma upya nilicho andika usikaze kichwa relax.

Hapo haina haja ya kutumia kichwa kilicholegea ,najua msg sent 🤣🤣
Chamsingi ni kukubali matokeo pia mujifunze kusifia opponents pindi munapofungwa....

Jamaa wamekutandika in & out baada ya kusema wamewazidi kimbinu unakuja na utetezi wa sijui Tomori angekuwepo sijui tuna UEFA
 
Hapo haina haja ya kutumia kichwa kilicholegea ,najua msg sent

Hawana jipya hao tuliwapiga 2-0 na hazard wao yupo tena hapohapo darajani mwez wa pili
 
Habari za siju ndugu. Kuna kitu naomba niongee na mashabiki wenzangu wa mpira hasa kuhusu game ya jana.

Kiukweli kupoteza game ya jana hata mimi imeniuma mno hasa tumepoteza darajani inaniuma mno. Lakini kuna kitu mimi nakiona na kinanipa faraja kwa kujaribu kuangalia upande wa pili katika hili swala. Kwanza tumepoteza game sababu ya kwanza ni kikosi kilichoanza na mimi silaumu kwa sababu ndio kinachohitajika inasaidia wachezaji wengine wapate nafasi ya kucheza na hata kujua potential zao. Tukumbuke tunacheza UEFA wiki ijayo na Ajax what if jana Tomori/ Azpi au Mount wangeumia? Haya je kama Lampard angeanzisha kikosi cha kwanza tungeujua vip uchovu wa Pedro?

Ninachosema si kwamba hii mechi haikua na umuhimu ila tujaribu kuangalia na upande wa pili. Mfano msimu uliopita sisi ndio tumtoa Liverpool kwa goli murua la ushindi kutika kwa Hazard ile mechi wote kwa asilimia kubwa tulianzisha wachezaji wa kikosi cha pili lakini sisi ndio tulibahatika tukapata ushindi Anfield. Ninachokiona Lamps ana priority kwa baadhi ya mshindano kama ilivyo msimu uliopita kilichofanyika kwa Liver. So sioni shida kabisa bado tupo kwenye nafasi nzuri, kama sisi tulivyowakejeli mwaka jana Liver tulivyowafunga kwao basi tutambue wakati huu hata manyumbu yatakuja kutupiga majungu humu. Jibu ni moja tu LEVELS huwezi fananisha UEFA na Futuhi ya brother K.
Sasa kwa akili yako na lampard UEFA atabeba hata wakina azipilikueta wakikaa benchi? Labda muibe mshukur Mungu mpo na lille na vi ajax
 
Msimu wa sari si mlikuwa mnasajili na hazard alikuwepo umefungwa na manchester united hapo hapo kwako 2-0 na man city kakupiga goli 6 hazard ndani kutokusajili au kusajili si kigezo cha kufanya vizur au vibaya na ulipigania top 4 had mech ya mwisho madrid na wakina hazard wa gharama kafa kwa real mallorca
Kwa hiyo mafanikio pekee ya mwaka jana kwa Man u ni kuifunga Chelsea iliyochukua Europa na Kushika nafasi ya tatu EPL? Polkeni sana, mkiona timu imefilisika mpaka mashabiki wake nao wamefilisika kimawazo
 
Mechi ya juzi kumbe ilkikuwa na gharama kwa Man U
Marcus RashfordOtherKnock02/11/2019Late Fitness Test50%TRACK
Harry MaguireOtherKnock02/11/2019Late Fitness Test50%TRACK
Victor LindelofOtherKnock02/11/2019Late Fitness Test50%TRACK
 
Hivi Higuaín si alicheza miezi sita tu halafu akatwaa kombe la Europa?
Chelsea ni timu nzuri sana Yaani hata akina Zapacosta, Drinkwater walipita tu wakapata kombe kwa majina yao kupitia Chelsea
Ndio maana Mikel alikaa benchi miaka 10 akatoka na makombe kibao

Dah! Mezi 6 ni mengi sana bro
Adria alikuja Liverpool akitokea Mtaani bila ya Timu lakini Baada ya WIKI 1 tu akabeba Super Cup.

Mambo mengine hata si ya kujisifia
 
Sasa kwa akili yako na lampard UEFA atabeba hata wakina azipilikueta wakikaa benchi? Labda muibe mshukur Mungu mpo na lille na vi ajax
Hii comment ni yako? Ina maana ufahamu wako wa mpira unaishia hapa?
 
Radika naona umepata nguvu kwenye uzi wetu karibu sana.

Naamini safari hii Epl lazima uchukue🤪
 
ac-table-sport-prem-owners-wealth-v2.jpg
 
Kujifariji muhimu baada ya kupigwa baki tu baki wakat juzi tu huko timu lako lilikuwa huko na ulikuwa hulali kila alhamisi kwenye futuhi na unarudi tena mwez wa pili
Tulikuwa tulichezesha timu B ya akina Odoi mpaka wakakulia Europa na sasa wako first team ya EPL. Europa ni mashindano ya mazoezi penda usipende. Timu zilizochoka ndizo zinashindania hilo kombe. Na mtacheza huko back2back mpaka mteremshwe daraja. Ikitokea hivyo tunawakaribisha mje mvae rangi ya blue, rangi ya matumaini, rangi ya ushindi
 
Hapo haina haja ya kutumia kichwa kilicholegea ,najua msg sent
Chamsingi ni kukubali matokeo pia mujifunze kusifia opponents pindi munapofungwa....

Jamaa wamekutandika in & out baada ya kusema wamewazidi kimbinu unakuja na utetezi wa sijui Tomori angekuwepo sijui tuna UEFA
Wakikuitaga akili fupi unakuja kutoa povu. Nakwambia soma tena nilicho andika ukielewe usikaze kichwa dogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom