Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

@lembu hutaki changamoto? Jana arsenal first half tukiwa 1-1 ilikuwa vurugu tupu, kuwa mvumilivu ukiona vipi unajipiga ban kama Ollachuga hatakagi kuvumilia , au unaenda zako majukwaa mengine upepo ukitulia unarudi.
Mkuu mimi na uhakika huu msimu soon tu utaanza kujipiga ban mwenyewe ..ilo Galina shaka kabisa arsenal haitusumbui akili kabisa..
 
Come on wanangu wa King power

Leicester XI: Schmeichel, Perreira, Soyuncu, Evans, Fuchs, Ndidi, Tielemans, Choudry, Perez, Maddison, Vardy

CHELSEA TUSICHUKIANE ,KILA MTU AMUOMBEE NJAA MWENZAKE KWA MUDA WAKE
Sisi tunaomba utoe draw na Liverpool mkuu..itapendeza sana ..wale munaweza wazuia kabisa angalia sisi tulivyofanya super cup ..

Come one Gunners[emoji123][emoji123][emoji123]

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Mkuu mimi na uhakika huu msimu soon tu utaanza kujipiga ban mwenyewe ..ilo Galina shaka kabisa arsenal haitusumbui akili kabisa..
Hahahaa msimu huu nitajipiga ban ila wewe ban zako zitakuwa nyingi, kama ndan ya wiki mbili tu hizi, umejipiga ban si chini ya 3, mm hata moja bado, kwahiyo itakuwa wewe unajipiga ban 3 mm labda 1 kwa mwezi.
 
Sisi tunaomba utoe draw na Liverpool mkuu..itapendeza sana ..wale munaweza wazuia kabisa angalia sisi tulivyofanya super cup ..

Come one Gunners[emoji123][emoji123][emoji123]

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Tatizo kocha wetu haelewek akipanga kikosi vzr tunashinda , maana kina auba laca wamesema wanataka wakalipe kisasi, shida inakuja kwa kocha ,haeleweki
 
ila chelsea tunaongoza kwa kupress na tunaupiga mwingi sana. sijui kwa nini hatushindi mechi dah[emoji26]
ha ha ha ha

kaka mpira ni magori tu - hata ucheze pressing kali vipi kama ukiruhusu counter attach tatu lazima ulalle 3. City wana uwezo mkubwa sana wa kuzuia counter attach.

Siri ya mchezo wa pressing high ni possession na usikubali kupotea mpira mara kwa mara na hata kama ukipoteza ndani ya sekunde 5 muwe mmeshaupata. Kwa chelsea hili bado.
 
Sarri sigara 80 per day ,sasa anaumwa mapafu, hii ilitokana na Chelsea kumzuia asivute sigara uwanjan
IMG-20190820-WA0012.jpeg
 
#KepaOut
#OllachugaOcOut
#LampardOut
Kepa na De gea wametofautiana nini mkuu. Wewe jana umetoa draw!!

Kepa atachukua namba ya De gea soon tu apo Spain..

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Mambo kadhaa niliyogundua kwenye mchezo kati ya Chelsea dhidi ya Leicester City.
.
.
Yule beki wa kati wa klabu ya Leicester City, Caglar Soyuncu, ni moja ya beki mzuri ana umbo zuri la kucheza mpira ya juu Giroud, na Abraham, walikuwa wanapata wakati mgumu sana kucheza mpira ya juu [emoji119] nina asilimia 80 anaweza kuziba pengo la Harry Maguire.
.
.
Tangu msimu uliopita apewe timu Brendan Rodgers, ni mwalimu wenye falsafa ya kuchezea mpira kumiliki Leicester kutoka kwenye kucheza mpira direct football mpaka kwenye mpira wa possession football amenikumbusha alivokuwa akihifundisha Swansea ikapewa jina la Swansealona [emoji119].
.
.
Kipindi cha kwanza Brendan Rodgers, alificha makucha yake kucheza kwa tahadhari kubwa na kuonekana na kumuacha Jamie Vardy, peke yake nyuma kama anazurura vile.
.
.
Maddison, yule anaevaa namba 10 wa Leicester City, ni mchezaji mzuri wenye spidi nguvu ana uwezo mkubwa ngome ya Chelsea, ilikuwa inapata wakati mgumu sana kumzuia.
.
.
Willian, bado ajawafiti ametoka majeraha mechi ilikuwa ina kasi sana muda mwingi alikuwa anachelewa kufanya maamuzi pale anapokuwa na mpira.
.
.
Kumtoa Jorginho, Frank Lampard, alifeli alikuwa anatuliza timu akiwa na umri kumuingiza Kovacic, maana yake anakwenda kuongeza nguvu ya kushambulia na kuwapa upenyo Leicester City.
.
.
Zouma naona anazidi kubadilika Siku hadi siku zinavosogea tofauti na mwanzo anaweza baadae huko mbeleni kuwa tishio.
.
.
Mwisho Lampard, unahitaji uwe na plan B kuanzia dakika ya 70 wachezaji wa Chelsea karibia wote walikuwa washachoka hii huenda ikakugharimu.

AROON
Hii tunajua ume kopi na kupaste ..sio wewe uliyeandika.

Hope tutafanya vizuri maana hata arsenal sioni kama mutashinda tukikutana.

Kila la kheri [emoji170][emoji170][emoji170]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom