Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Maisha Yapo kasi sana.... Leo hii Leicester anaenda darajani na kuchukua point yake moja

















ulitaka achukue asernaAnalMaisha Yapo kasi sana.... Leo hii Leicester anaenda darajani na kuchukua point yake moja![]()
Hahahahahahahah, jamaa kabla ya mechi walikuwa wanatembea vifua mbele wamevua na mashati, ukiwauliza kwann mnajiamini hivi jibu ni kwamba walitoka mbili mbili na Liverpool wakafungwa penati na penati hazina mwenyeweTumeupiga mwingi
2+ imetoa kama kawaida , yaan mwaka huu usipokula hela kupitia Chelsea basi tena
Naona umepanik ,kawaida tu ,mbona wenzako wakiona hali ngumu, wanajipiga banulitaka achukue asernaAnal
Kwa mtindo huu mimi naona tumepona
Lampard fanya mabadiliko haraka yenye tija
Kama high pressing inachosha vijana punguza speed
Tunakuwa kama nguvu za soda bana!!


