OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,145
- 24,090
Ole out
Mechi ya pili hii Kepa hajafunga goli hata moja.#KepaOut
#OllachugaOcOut
Ole out
Mechi ya pili hii Kepa hajafunga goli hata moja.#KepaOut
#OllachugaOcOut
mwacha aende Reece atacover position yake soonAzipiculeta kazi anayo, Zapacosta huyooo Ac Roma View attachment 1185914
Fundi nguo auNawakaribisha kwenye leo saa 4 usiku muangalie burudani kutoka kwa fundi Ole Gunnar Solskjaer...
Ni kweli mkuu alitapatapa..Namuona wolves akitapatapa leo...
Kwani Allison ci anabebwa na beki tu? Akosekane VVd tu pale uone jinsi Allison alivyo tobo.. Kepa ni mambo machache tu na bado ni mdogo ..Kuliko yeyote. Leta facts/stats hapa mzee za huyo Kepa na mimi nilete za Allison.
Sisi tumepiga gemu tatu na zote ni tafu, sasa wewe unacheza na barnley unashinda kwa tabu ukikutana na Leicester naamini utaona jinsi ulivyo na timu mbovu..Hahahaa msimu huu nitajipiga ban ila wewe ban zako zitakuwa nyingi, kama ndan ya wiki mbili tu hizi, umejipiga ban si chini ya 3, mm hata moja bado, kwahiyo itakuwa wewe unajipiga ban 3 mm labda 1 kwa mwezi.
Et kwa hisani ya malafyale kumbe we ni mnyaki 😅Hahaha mkuu Leicester wewe bado hujakipiga naye ..kama mimi nimetoa Naye droo wewe utamuweza?
Hii ni gemu yetu ya pili kwenye ligi.
Kwa hisani ya Malafyale "mambo mazuri yanakuja"
Kila la kheri Chelsea
Hahaha kama Pogba mkuu alivyo tatizo..
Wewe ni tatizo mkuu
Kumbe stats za umri ndo zinakufanya uongee? Leta hapa idadi ya saves, idadi ya clean sheets etc. Tuone nani mzima nani mbovu. Hayo mambo ya defence mlitumwa msiwe na beki nzuri?Kwani Allison ci anabebwa na beki tu? Akosekane VVd tu pale uone jinsi Allison alivyo tobo.. Kepa ni mambo machache tu na bado ni mdogo ..
Nimekop wapi tena ,au hutaki tuichambue Chelsea ,mbona kabla ya ligi nilivyoangalia kikosi chenu nimewaambien hamtamaliza ndan ya top 6 kwakuwa mna vijana wengi, hamtaweza kufanya vzr dhid ya man city, liver ,arsenal , labda man u maana simuelewi elewi , ana rashid na martial , huku anamuondoa Sanchez, hivo hao rashid na martial mech ngumu wanapotea , na ndio tegemeo. ,wakiumia ,replacement yao ni kina greenwood , kwahiyo kwa mtazamo huo Chelsea ukikaza utaivizia nafas ya man u ,na endapo hao kina rashid watasuasua. ,Hii tunajua ume kopi na kupaste ..sio wewe uliyeandika.
Hope tutafanya vizuri maana hata arsenal sioni kama mutashinda tukikutana.
Kila la kheri
Kwa sababu hiyo nafasi ni ya Reece James, mwezi wa tisa anaweza kuwa fitAzipiculeta kazi anayo, Zapacosta huyooo Ac Roma View attachment 1185914
Pointless, mimi nilizani unaunganisah mada kisayansi kumbe kishabikiSarri sigara 80 per day ,sasa anaumwa mapafu, hii ilitokana na Chelsea kumzuia asivute sigara uwanjan View attachment 1185909
Tatizo lako umekurupuka , kama hujui moja ya sababu ya sarri kurud Italy ni kupata uhuru wa kuvuta sigara hata mech ikiendelea ,swala ambalo England ni gumu, kukosa kuvuta sigara mara kwa Mara pia kumemletea tatizoPointless, mimi nilizani unaunganisah mada kisayansi kumbe kishabiki
Hii habari si kweliChelsea may face a prolonged ban term after a leaked email showed they signed two players with the transfer window ban still active.[Fabrizio Romano, DiMarizio, Alfredo Pedulla]
CHELSEA KAMA HII HABARI NI KWELI ,JAPO SIJAIONA KWA KINA DI MARZIO, BAS MTASHUKA HADI LIGUE 2
Chelsea may face a prolonged ban term after a leaked email showed they signed two players with the transfer window ban still active.[Fabrizio Romano, DiMarizio, Alfredo Pedulla]
Reports suggest that if Chelsea are found guilty they are set to face a 10 window ban.[Fabrizio Romano, DiMarizio, Alfredo Pedulla]