Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi ndo huwa vinawagawa kwenye jukwaa lenu huko. Sisi hatuna upumbavu kwma huo
Waache Haters walete dharau lakini sisi Chelsea tunajivunia kuupiga Mwingi tu hata kama hatushindi.

Lampard ni Gineus wa Pressing kuliko kocha yeyote wa EPL.

Mbona msimu huu timu zitatukoma kwa Kupress.
 
Kuna watu hata wakimbie vip ikifka december watakuw nyuma ya chelsea kwa point kadhaa
Mark my word
Na maneno yako sio sheria mkuu... Itategemeana na jinsi matokeo mazuri mtayopata.
Season hazifanani kama ulivyozoea, ndio maana miaka hii Man u inakuwa ya 6 na Spurz ya 2 au 3.. na ndio soka hilo huwezi kurusha ngumi uwanjani upate point.
Bado mapema sana kukata tamaa... Ila tusipende kwenda na matokeo mfukoni.
 
Tuwe wakweli, kwa timu hii hiyo TOP FOUR tutaisikia kwenye bomba tu - huu ndiyo mshahara wetu wa kufukuza fukuza makocha, kila anayekuja anakuja na philosophy mpya yaani kuanza moja.

1566200824150.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waache Haters walete dharau lakini sisi Chelsea tunajivunia kuupiga Mwingi tu hata kama hatushindi.

Lampard ni Gineus wa Pressing kuliko kocha yeyote wa EPL.

Mbona msimu huu timu zitatukoma kwa Kupress.
 
Mchezo na Man U, sikujali matokeo kwa sababu timu ilicheza vizuri sana, silly errors tu ndizo zilitucost
Mchezo na Liverpool zile errors ziliondoka nikadhani sasa tumerudi normal angalau kuanza safari ndefu ya kupigania top 4
Ila mchezo wa jana hata Chelsea ingeshinda na lile bao moja bado ningeirate Chelsea very poor tofauti na tulivyofungwa 4-0 na Man U WHY?
Wachezaji walicheza OVYO OVYO KABISA has wafuatao
  1. Azpilicueta - kiwango kilishuka
  2. Kante - hakucheza kwenye form yake
  3. Jorginho - alidrop sana, huyu na Azpi ndio waliotengeneza mteremko kwa Leicester city kutawala mpira kipindi cha pili
  4. Pulisic - hakucheza vibaya ila alicheza chini ya kiwango hasa baada ya 25mins
  5. Tammy - aliingia na hakuleta impact kubwa
  6. Willian - bado yuko likizo
  7. Kovacic - kazidiwa pumzi
Jana Jorginho alitakiwa apumzishwe na pale wangemuweka Kante na Barkley angeanza pembeni ya kulia au kushoto kwa kubadilishanana Mount
 
Willian ana jeraha bdo hajapona. Na wachezaji wamechoka sana. Dk 120 katikati ya wiki alafu masaa 7 angani kwenye ndege si mchezo. Ungeangalia mechi ya Liverpool hata kama alipata matokeo ungenielewa.

Mechi mbili bado mapema. Kwani Klop, Guadiola na Poch walianzaje? Mapito kama haya ndo yanafanya mashabikie wakomae na kuwa strong. Lakini pia ni mchujo kwa plastic fans
Mchezo na Man U, sikujali matokeo kwa sababu timu ilicheza vizuri sana, silly errors tu ndizo zilitucost
Mchezo na Liverpool zile errors ziliondoka nikadhani sasa tumerudi normal angalau kuanza safari ndefu ya kupigania top 4
Ila mchezo wa jana hata Chelsea ingeshinda na lile bao moja bado ningeirate Chelsea very poor tofauti na tulivyofungwa 4-0 na Man U WHY?
Wachezaji walicheza OVYO OVYO KABISA has wafuatao
  1. Azpilicueta - kiwango kilishuka
  2. Kante - hakucheza kwenye form yake
  3. Jorginho - alidrop sana, huyu na Azpi ndio waliotengeneza mteremko kwa Leicester city kutawala mpira kipindi cha pili
  4. Pulisic - hakucheza vibaya ila alicheza chini ya kiwango hasa baada ya 25mins
  5. Tammy - aliingia na hakuleta impact kubwa
  6. Willian - bado yuko likizo
  7. Kovacic - kazidiwa pumzi
Jana Jorginho alitakiwa apumzishwe na pale wangemuweka Kante na Barkley angeanza pembeni ya kulia au kushoto kwa kubadilishanana Mount
 
Utulie mechi mbili zisikupe kiwewe. Ligi ndo imeanza
Ni kweli kaka, ila back four yetu inaninyima matumaini kabisa!! hapo katikati kuna tobo....wacha tuone Rudiger na Alonso wakirudi..
 
Alonso hawezi kupata namba tena maana Emerson yupo katika kiwango cha juu. Tena nyuma hatuko wabovu labda mbele ndo hatuna striking force. Udhaifu wetu ni katika kuzuia counterattack tunapokuwa tunashambuliwa. Maana when you press high like Chelsea is currently doing, the fact is that you may be harmed on counterattack. Labda kwa mbele kuna tatizo kubwa kwa striker. Giroud hawezi kucheza mipira ya chini. Tammy talented ila EPL anahitaji muda kuimaster na inaweza kumchukua hata msimu mzima.
Ila nyuma Zouma na Christensen kwa mechi hizi mbili wameonyesha ukomavu. Akija Rudiger tutaimarika zaidi
 
Kwa mchezo wa jana Giroud alicheza vizuri kilichotokea hakupata service, hata lile goli la Mount passi ilitoka kwa Giroud, Tammy akicheza nafasi ya Giroud hatulii anabehave kama winger kuna mmoja hapa alisema nami naunga mkono. Giroud is the best player maker kwa striker tulionao. Issue ni kwamba labda kocha aanze kumjaribu Batshuayi.
 
Sawa, ajitahidi basi ku- ya balance kati watoto na wazee; kwa mfano jana badala ya kumwanzisha yule dogo mwenye wa kipaji Mount basi angeanza na Mateo Kovačić then pale mbele badala ya kuanza na kinda Pulisic ambaye bado hajazoea mikiki ya EPL basi angeanza na mzee mzima Willian ( Hoja ya eti willian hakuwa fiti si sahihi)

Kwa hiyo katikati pangekuwa Mateo Kovacic Ngolo Kante na Jorginho
Mbele Kungekuwa na Willian, Geroud na Pedro.
Nawahakikishia matokeo yasingekuwa hayo.

Then hao madogo wenye speed wangeingia kipindi cha pili wakati Game illishauawa tayari - Tatizo Lampard naye anataka kuleta imani ya madogo of 'couse si vibaya ila dogo ni dogo tu mikiki mikiki kwa 90 min EPL bado sana.

Kwa mfano Willian anataka kupiga free kiki pale then yule dogo Maunt akangangania - hapo unaona body language ya Willian wakati anasogea pembeni.
 
Kwa mchezo wa jana Giroud alicheza vizuri kilichotokea hakupata service, hata lile goli la Mount passi ilitoka kwa Giroud, Tammy akicheza nafasi ya Giroud hatulii anabehave kama winger kuna mmoja hapa alisema nami naunga mkono. Giroud is the best player maker kwa striker tulionao. Issue ni kwamba labda kocha aanze kumjaribu Batshuayi.
Giroud ni striker mzuri sana kwa mipira ya juu, anahitaji crosss nyingi toka kushoto, kulia na hata through pass toka kati - Je alipata service yoyote? jibu hapana.

Hapa ndipo tatizo lilipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom