Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,901
kupata vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi?Today is a must win game endapo Lampard atapanga kikosi kilichoanza game ya Loserfool juzi sion leicester akichomoka leo
kupata vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi?Today is a must win game endapo Lampard atapanga kikosi kilichoanza game ya Loserfool juzi sion leicester akichomoka leo
Maisha Yapo kasi sana.... Leo hii Leicester anaenda darajani na kuchukua point yake moja![]()


mwenye nyumba kakaziwa na mpangajiKovacic anasaidia ktk ku-balance team pale katikati anakaba na anatulia na mipira..huyu Abrahamu ilikuwa haina haja ya kuingia
funga hata ndoa tuTunaona kama manure kili kipigo walituonea nakusema ngoja kocha ana makali yake ikaja game ya liver tukatolewa bado et sababu yalikuwa ni matuta aya leo leicester tukasema tunaanza washa moto wapiii
Khaa asa tutamfunga nani



Ninachotumaini na iwe hivyo ni kwamba Lampard anajifunza na atarekebisha
Ninaomba RLC, Rudiger na Reece apone na wawe fit haraka
Kweli kazi kubwaArrsenAnal angalia wanaume wanapiga kazi
naaamLampard ni bongeee la kochaa
Jamani kuna nini uwanjani? Nilipata mgeni nikaacha 1-0 na possession ya 80-20 nimerudi nakuta 1-1- na possession ya 49-51
Kuna nini jamani
Kijana hebu malizia matokeo basiMount dk ya 7
1-0
Subirini
Chelsea bado iko kwenye mpito
Hata kama kocha ni mzuri namna gani huwezi pewa timu yenye vijana wageni wengi hivi halafu ukaperform miracle day 1 or 2
Kante nuksi mechi ijayo anakaa golini kepa anatuzinguaKuna Jamaa hapo anasema Kante anacheza popote
Mason MountNinachotumaini na iwe hivyo ni kwamba Lampard anajifunza na atarekebisha
Ninaomba RLC, Rudiger na Reece apone na wawe fit haraka
Mysterio MkuuYupi huyo mkuu
2 points dropped. Actually hata hiyo moja ni bahati maana zile counter attacks za Leicester zilikuwa za kiwango cha Stigler Gorge. Nadhani kuna haja ya kuhakikisha Batshuayi anabaki tu. Tammy na Giroud hawatupeleki popoteChelsea beki zake zinamuangusha Sana msimu huu unaweza kuwa mbaya sana kwa Chelsea. Striker butu. Beki tatizo
Pole sport lady, point 1 si mbaya lknMimi bado naamini timu yangu pendwa itakuwa pouwa na itacheza soka safi. Mdogo mdogo chelsea fareva.