Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Untachaeble wako Arsenal. Chelsea ni klub kubwa kuliko wachezaji wake. Kwenu Auba na Luiz ndo untachable kwa sababu they are bigger than your club
Luiz bado the best ukicompare na uozo wa kina zuma na christensen sijui, anawazidi mbali sn No matter what.
 
Wewe punguani kweli hebu fikiria ulichoandika kama kinaendana na uhalisia Luiz ni above 32 years leo hii awe untouchable? Hivi unajua policy ya Chelsea kwa wachezaji wenye umri huo? Nakushauri endelea na kubeti achana na Chelsea yetu
Unapanic kijinga kolo wewe, Unajikuta chelsea timu ya baba ako, sio?
 
Duh, nilipoanza kushabikia chelsea ulinikaribisha wewe?

You dont need plastic fans, who are you?

Wewe ni mmiliki wa timu?
Sasa kama we sio plastic fans kwanini uitakie kheri Chelsea halafu unamtilia shaka Kocha? Ndo mana jamaa amekuuliza unaelewa maana ya plastic fans
 
Kante kwa Sasa ni box to box midfield. Kwa pressing ya Lampard amemweka namba nane ili ikate umeme hukohuko mbele. So Joginho anabaki kutumika kama alivyomtumia Sari.

Lakini wengi wenu mulikua munalalamika wakati sarri alipokaua akimchezesha box to box na mpaka mukafikia kutaka kocha afukuzwe na sababu kuu ni kua hamchezeshi kante namba 6
 
Sasa kama we sio plastic fans kwanini uitakie kheri Chelsea halafu unamtilia shaka Kocha? Ndo mana jamaa amekuuliza unaelewa maana ya plastic fans

Kwahiyo kumtilia shaka Lampard ndio kosa? Wakati Sarri mulikua mukimshikia mabango
 
Sasa kama we sio plastic fans kwanini uitakie kheri Chelsea halafu unamtilia shaka Kocha? Ndo mana jamaa amekuuliza unaelewa maana ya plastic fans
kocha ameshindwa kuleta ushindi kwenye mechi mbili,

Unataka nisiwe na wasi wasi!

Nikiwa na wasi wasi unaniita plastic fan!
 
Leo ushindi upo simple sana kwa lecister, goli nyingi tu
 
Kama unatumia arguments za AROON kusema Chelsea anamaliza nafasi ya kumi basi akili zenu ni sawa. Mtu mwenye akili hawezi kutumia mechi 2 kufanya judgement ya mwisho wa ligi. 2016/2017 tulipigwa na Liver 2-1 tukapigwa na Arsenal 3-0 lakini msimu huo huo tulibeba EPL. Ifike mahali kila mtu ajifunze kufikiria maana tumepewa uwezo huo

Endelee kusafiria ndoto za 2017 katika mwaka 2019
 
Wewe akili zako si nzuri au unavuta sana sigara, Liverpool wameanza kwa ushindi wa kusuasua kivipi, watu wengine akili zenu hata bashite ananafuu
Tunza huu uzi halafu baada ya mechi 10 uje kuniambia tena kama mimi navuta sigara wewe unavuta au uliwahi kuvuta bangi
 
Wewe punguani kweli hebu fikiria ulichoandika kama kinaendana na uhalisia Luiz ni above 32 years leo hii awe untouchable? Hivi unajua policy ya Chelsea kwa wachezaji wenye umri huo? Nakushauri endelea na kubeti achana na Chelsea yetu
Sifa kubwa ya mchezaji ambaye ni aged hata kama ni mzuri kama Luiz
  1. Performance yake inakuwa Off and On / On and Off
  2. Silly errors nyingi akikutana na wachezaji pinzani wanaojua kupress na kukimbia na mpira
  3. Kuacha nafasi za hatari kwa attackers wa opponent side, labda tu wao wakizubaa kuzitumia hizo nafasi
Luiz hizi sifa zote anazo
Kinachowadanganya watu ni kwamba yeye bado ni beki mzuri kwa sababu akiwa kwenye form ushabiki mbaya, anakaba na kuunganisha wenzake vizuri na pale wenzake pale nyuma wanamuamini kabisa.

Lakini subiri sasa vitokee hivi vitu viwili
  1. Akutane na timu nzuri inayojua kupress au ku counter attack, na yenye washambuliaji vijana wajanja na wenye mBio, utahadithia
  2. Akutane na timu ambayo meneja wake anashinda kwa kudig na kutumia vyema udhaifu wa timu pinzani. wiki nzima wachezaji wanafundishwa namna ya kutekeleza mashambulizi kwa kutumia weak point, lazima weak point hiyo itakuwa ni kwa Luiz kama Chelsea walivyofanyiwa mwak ajana aidha kwa Luiz au kwa Alonso au saa nyingine kwa Aspi mechi zingine alikuwa akichoka sana
 
Lakini wengi wenu mulikua munalalamika wakati sarri alipokaua akimchezesha box to box na mpaka mukafikia kutaka kocha afukuzwe na sababu kuu ni kua hamchezeshi kante namba 6
Tofauti yake chini ya lampard kante anakuwa free kucheza maeneo yote na jorginho na kovacic wanakuwa flexible if jorginho na kovacic wakipanda kante arudi chini na ikitokekea kovacic na kante wakipanda jorginho arudi chini na pia kante na jorginho wakipanda kovacic anarudi chini kiufupi Kuna kuwa hakuna permanent no 6 au 8 ndo maana Mashabiki hawaongei.I think umenielewa.
 
Wadau tusiwe wabishi. Kante hachezi kabisa mbele ya defenders. Bado anatumika kama alivyokuwa anatumika kipindi cha Sarri. Naomba Leo mu-analyse vzur uone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom