Barkley outNatamani kikosi Cha Leo kiwe hivi
1.kepa
2.alzipicueta
3.emerson
4.rudiger
5.christen
6.kante
7.pedro
8.jorginho
9.girodi
10.barkley
11.pulisic
@lembu hutaki changamoto? Jana arsenal first half tukiwa 1-1 ilikuwa vurugu tupu, kuwa mvumilivu ukiona vipi unajipiga ban kama Ollachuga hatakagi kuvumilia , au unaenda zako majukwaa mengine upepo ukitulia unarudi.Hili jukwaa bana hata kujadili mambo yetu imekuwa ni shida, karaha na kero kubwa kwa sababu ya wahamiaji haramu ndio wako wengi humu
Nimeongea na Lampard akasema leo ataiweka hiiNatamani kikosi Cha Leo kiwe hivi
1.kepa
2.alzipicueta
3.emerson
4.rudiger
5.christen
6.kante
7.pedro
8.jorginho
9.girodi
10.barkley
11.pulisic
Wewe akili zako si nzuri au unavuta sana sigara, Liverpool wameanza kwa ushindi wa kusuasua kivipi, watu wengine akili zenu hata bashite ananafuuKwa mwendendo wa ligi ulivyoanza wa Man city kupoteza point mapema na Liverpool kushinda kwa kusuasua, Chelsea, Man U, na Arsenal kuimarisha vikosi vyao, ubingwa sio wa timu mbili kama ilivyokuwa mwaka jana
VAR imeanza vituko vyake, City yanyimwa point 3 kwa sababu ya VAR
Natamani kikosi Cha Leo kiwe hivi
1.kepa
2.alzipicueta
3.emerson
4.rudiger
5.christen
6.kante
7.pedro
8.jorginho
9.girodi
10.barkley
11.pulisic
Kama unatumia arguments za AROON kusema Chelsea anamaliza nafasi ya kumi basi akili zenu ni sawa. Mtu mwenye akili hawezi kutumia mechi 2 kufanya judgement ya mwisho wa ligi. 2016/2017 tulipigwa na Liver 2-1 tukapigwa na Arsenal 3-0 lakini msimu huo huo tulibeba EPL. Ifike mahali kila mtu ajifunze kufikiria maana tumepewa uwezo huoMsimamo wa Leo:
√ Chelsea akishinda atakamata nafasi ya 11
• Akitoka Sare atakamata Nafasi ya 15
× Akifungwa atakamata nafasi ya 20
Nadhani AROON alikuwa sahihi aliposema Chelsea atamaliza ligi kuanzia Nafasi ya 10 na kuendelea.
Leo naiombea chelsea yangu, japo lampard haeleweki.
Wewe punguani kweli hebu fikiria ulichoandika kama kinaendana na uhalisia Luiz ni above 32 years leo hii awe untouchable? Hivi unajua policy ya Chelsea kwa wachezaji wenye umri huo? Nakushauri endelea na kubeti achana na Chelsea yetuWakuu jana David luiz nimemkubali aisee nilikua namuona garasa wakati yupo chelsea ila jana kaniprove wrong.
David luiz hakutakiwa kabisa kuachwa aondoke Chelsea, ila kiburi cha lampard kujiona anajua kuliko kitamtokea puani msimu huu.Kuna wachezaji ni untouchable lazima akubaliane na hilo kwanza (eg Auba, Pogba,Hazard,D.luiz, et al )
Untachaeble wako Arsenal. Chelsea ni klub kubwa kuliko wachezaji wake. Kwenu Auba na Luiz ndo untachable kwa sababu they are bigger than your clubWakuu jana David luiz nimemkubali aisee nilikua namuona garasa wakati yupo chelsea ila jana kaniprove wrong.
David luiz hakutakiwa kabisa kuachwa aondoke Chelsea, ila kiburi cha lampard kujiona anajua kuliko kitamtokea puani msimu huu.Kuna wachezaji ni untouchable lazima akubaliane na hilo kwanza (eg Auba, Pogba,Hazard,D.luiz, et al )
Duh, nilipoanza kushabikia chelsea ulinikaribisha wewe?Kama haeleweki achana na Chelsea. We don't need plastic fans
Mnachekeshaga sana mkilazimisha Kante achezeshwe namba 6. wakati Hata lampard amelipotezea.
Duh, nilipoanza kushabikia chelsea ulinikaribisha wewe?
You dont need plastic fans, who are you?
Wewe ni mmiliki wa timu?