Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,693
Hahahhaa dahSisi Chelsea Hata tushuke, hukohuko League Two Tutaenda Kuupiga Mwingi.
Hahahhaa dahSisi Chelsea Hata tushuke, hukohuko League Two Tutaenda Kuupiga Mwingi.
Sawa mkuu mimi Nina uhakika tutamaloza ligi juu ya Man united ..labda arsenal akikaza sana anaeza ishia nafasi ya tano, au ya nne endapo sisi tutamaliza nafasi ya tatu..Nimekop wapi tena ,au hutaki tuichambue Chelsea ,mbona kabla ya ligi nilivyoangalia kikosi chenu nimewaambien hamtamaliza ndan ya top 6 kwakuwa mna vijana wengi, hamtaweza kufanya vzr dhid ya man city, liver ,arsenal , labda man u maana simuelewi elewi , ana rashid na martial , huku anamuondoa Sanchez, hivo hao rashid na martial mech ngumu wanapotea , na ndio tegemeo. ,wakiumia ,replacement yao ni kina greenwood , kwahiyo kwa mtazamo huo Chelsea ukikaza utaivizia nafas ya man u ,na endapo hao kina rashid watasuasua. ,
Msimu huu kiukweli Mnawakati mgumu kuliko kipind chote toka 2005 , lakin kwakuwa mnatanguliza ushabiki tutaona mbeleni, maana hata huyo Norwich umuwahi mapema kumfunga ukikawia imekula kwenu.
Reece James naye ana wiki tatu hivi tutamuonaCollum kaanza mazoeziView attachment 1186472View attachment 1186473
Habari njema hizi. Salamu kwa Azpi zimfikieReece James naye ana wiki tatu hivi tutamuona
Huyu kipa naanza kupoteza imani naye!!Kuelekea game yetu dhidi ya Norwich city
-
Teem Pukki katika shots on target 6 kafunga goli 4
-
Kepa katika shots on target 8 kafungwa goli 5
-
Hii ina maana gani?, Ina maana kwenye kila mashuti 2 anayopigiwa kepa moja(1) ni goli na kwenye kila mashuti 3 anayopiga Teem Pukki mawili (2) ni magoli..
-
Tujiandae kisaikolojiaView attachment 1185950
Callum Hudson-Odoi is 18 and played just 10 league games last season, scoring 0 goals. He's about to be paid £200,000-a-week.Collum kaanza mazoeziView attachment 1186472View attachment 1186473
Taarifa za udaku - hao dailymail ni wanafiki sana, wameamua kuwahi huo uongo kwa vile kule kwao hawashitakiwi ili wauze habariCallum Hudson-Odoi is 18 and played just 10 league games last season, scoring 0 goals. He's about to be paid £200,000-a-week.
Football is wild.
Hahahahahahahahah umeshakimbilia Arsenal tayari.Sisi tunaomba utoe draw na Liverpool mkuu..itapendeza sana ..wale munaweza wazuia kabisa angalia sisi tulivyofanya super cup ..
Come one Gunners
Kila la kheri Chelsea
Kwakua ni mweusi ndio maana anasemwa hivyo angekua white hapo habari isingekua kubwa.Callum Hudson-Odoi is 18 and played just 10 league games last season, scoring 0 goals. He's about to be paid £200,000-a-week.
Football is wild.
Nina uhakika hizo ni habari za uongo hazikuoriginate ChelseaKwakua ni mweusi ndio maana anasemwa hivyo angekua white hapo habari isingekua kubwa.
Nadhani lengo ni kumfanya ghali yaan hata timu itakayomtaka iwe ngumu kumchukua.