Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Alonso hawezi kupata namba tena maana Emerson yupo katika kiwango cha juu. Tena nyuma hatuko wabovu labda mbele ndo hatuna striking force. Udhaifu wetu ni katika kuzuia counterattack tunapokuwa tunashambuliwa. Maana when you press high like Chelsea is currently doing, the fact is that you may be harmed on counterattack. Labda kwa mbele kuna tatizo kubwa kwa striker. Giroud hawezi kucheza mipira ya chini. Tammy talented ila EPL anahitaji muda kuimaster na inaweza kumchukua hata msimu mzima.
Ila nyuma Zouma na Christensen kwa mechi hizi mbili wameonyesha ukomavu. Akija Rudiger tutaimarika zaidi
Emerson ni habari nyingine, Ayoze Perez jana kafichwa kwenye gunia. Jana nafasi iliyoharibu ni ile ya midfields hasa ya Jorginho, Kante hakuwa kwenye form yake na Kovacic alipoingia hakuweza kuchange game. Pia Azpi alikuwa ndio uchochoro baada ya hao mbweha kuhundua kuwa Emerson hapitiki wakahamia magharibi. hali ndivyo ilivyokuwa Ndugu yangu. Hata akina Zouma na Christiansen tukuwashutumu tunawaonea bure walijitahidi kwa uchanga wao. I hope Reece James akipona, Azpi atafuata nyayo za Carhill za kusugua benchi akiwa nahodha, Unahodha wake utaishia dressing room

Lampard revealed last week that the 19-year-old will be given a major role
“Reece James coming back, who is going to be a big player for us, I think.”
 
Kazi ya ukocha epl ni ngumu....sasa hivi lampard ataota mvi kichwani
Mimi bado nina imani angebakia yule Mzee wetu Sarri alikuwa anakwenda vizuri...lakini mashabiki wamemfanya akose imani nao katimka.

Hata Lampard asiposhinda game walau 2 kati ya 5 atakuwa kwenye matatizo makubwa. Mchezo wa Pressing high wakati huna mabeki na mido wenye control kubwa ya ku hold mpira na mbio ni kazi kubwa maana ukipoteza mpira kwenye mstari wa kati umekwisha... Vady na yule jamaa number 10 jana walitaka kutuua mengi tu
 
ila chelsea tunaongoza kwa kupress na tunaupiga mwingi sana. sijui kwa nini hatushindi mechi dah
 
Nawakaribisha kwenye leo saa 4 usiku muangalie burudani kutoka kwa fundi Ole Gunnar Solskjaer...
 
Kwa mchezo wa jana Giroud alicheza vizuri kilichotokea hakupata service, hata lile goli la Mount passi ilitoka kwa Giroud, Tammy akicheza nafasi ya Giroud hatulii anabehave kama winger kuna mmoja hapa alisema nami naunga mkono. Giroud is the best player maker kwa striker tulionao. Issue ni kwamba labda kocha aanze kumjaribu Batshuayi.
Mount mpira aliutafuta mwenyewe. Alimnyanganya Ndidi
 
Sawa, ajitahidi basi ku- ya balance kati watoto na wazee; kwa mfano jana badala ya kumwanzisha yule dogo mwenye wa kipaji Mount basi angeanza na Mateo Kovačić then pale mbele badala ya kuanza na kinda Pulisic ambaye bado hajazoea mikiki ya EPL basi angeanza na mzee mzima Willian ( Hoja ya eti willian hakuwa fiti si sahihi)

Kwa hiyo katikati pangekuwa Mateo Kovacic Ngolo Kante na Jorginho
Mbele Kungekuwa na Willian, Geroud na Pedro.
Nawahakikishia matokeo yasingekuwa hayo.

Then hao madogo wenye speed wangeingia kipindi cha pili wakati Game illishauawa tayari - Tatizo Lampard naye anataka kuleta imani ya madogo of 'couse si vibaya ila dogo ni dogo tu mikiki mikiki kwa 90 min EPL bado sana.

Kwa mfano Willian anataka kupiga free kiki pale then yule dogo Maunt akangangania - hapo unaona body language ya Willian wakati anasogea pembeni.
Willian bado, jana ameonyesha. Wamuache apone kabisa
 
Vipi nani katapa tapa
Sijaangalia hii mechi ila kwenye online streaming inaonyesha Man U kashikiliwa kipindi cha pili na commentetors wanalalamika midfields za Man u kukosa ubunifu wa kutengeneza nafasi
Hao bila counter attack hawawezi kitu, wamekutana na wataalamu na maprofesionalist wa counter attack kwa hiyo ngoma lazima iwe draw
 
Wazee wa counter
 
Emerson ni habari nyingine, Ayoze Perez jana kafichwa kwenye gunia. Jana nafasi iliyoharibu ni ile ya midfields hasa ya Jorginho, Kante hakuwa kwenye form yake na Kovacic alipoingia hakuweza kuchange game. Pia Azpi alikuwa ndio uchochoro baada ya hao mbweha kuhundua kuwa Emerson hapitiki wakahamia magharibi. hali ndivyo ilivyokuwa Ndugu yangu. Hata akina Zouma na Christiansen tukuwashutumu tunawaonea bure walijitahidi kwa uchanga wao. I hope Reece James akipona, Azpi atafuata nyayo za Carhill za kusugua benchi akiwa nahodha, Unahodha wake utaishia dressing room

Lampard revealed last week that the 19-year-old will be given a major role
“Reece James coming back, who is going to be a big player for us, I think.”
HAhahhah

Jazeni Waingereza mvune mnachokipanda

Tomori Englishman Reece Englishman Tammy Englishman Odoi Englishman Cheek Englishman Mount Englishman
 
Sisi Chelsea Next game kwa kibonde Norwich kama kawaida Tutaupiga mwingi tu.

Sisi KuupigaMwingi FC mbona tunatisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom