Hazard huyooooo Madrid

Chelsea ya kina kepa ,hudoi, jirud , aisee msimu...ujao wolves anawapoka nafas ya 6 mtakayoshika msimu huu,

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Kwa taarifa nilizozipata hivi punde, ni kwamba winga wa Chelsea, Eden Hazard ameshakubaliana kujiunga na Real Madrid mwishoni mwa msimu huu kwa mkataba wa miaka mitano uku mshahara wake ukiwa paundi milioni 14 kwa mwaka.

Nadhani hujaona hapo jinsi wanavyojifariji kuwa akiondoka Hazard ndiyo timu yao itakuwa imara zaidi.

Wamesahau kuwa hata Real Madrid walisema kuwa akiondoka Ronaldo timu yao itakuwa imara zaidi. Lakini ukweli tunauona.
 
Kwa taarifa nilizozipata hivi punde, ni kwamba winga wa Chelsea, Eden Hazard ameshakubaliana kujiunga na Real Madrid mwishoni mwa msimu huu kwa mkataba wa miaka mitano uku mshahara wake ukiwa paundi milioni 14 kwa mwaka.

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hawa chelshit mtaa wa kumi unawahusu

13SEPTEMBER
 
Mnachosema ni kweli ila siyo Mou bhana.

Sent using Jamii Forums mobile app
MOU is far 1,000 times better than Sarri, Asipogombana na wachezaji, MOU ana mbinu kwa kila mechi, hatabiriki, kama Sari. Sarriball imekuwa kama kilevi

I like MOU counter attack strategy
Ukifuatilia documentary ya counter attack ya Real Madrid 2011 utampenda MOU, counter attack yake akiwapata wachezaji wazuri kwa huo mfumo ni kama shoti ya umeme kwa timu pinzani
 
Mou huyu huyu anaelilia vitita vikubwa vikubwa vya usajili??Mou huyu huyu aliepewa almost 400£m za usajili Man Utd akasajili wachezaji ambao akaja kuwakataa yeye mwenyewe? Au mmeshakata rufaa kifungo kimeisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa tufocus kubeba Europa kwanza. Masuala ya Harzad na kocha tutajadili baadae..

Sent using Jamii Forums mobile app
Unabebea wapi na mm nipo huko nakusubiri kibonde wangu Chelsea

Yaan wewe msimu ujao nafas yako ni ya 7 ,nafas ya 6 utakayoshika mwaka huu anaichukua Everton au wolves

Huku Europa nakuzabua ,fainal 3bila

Siunajua ukicheza fainal na arsenal anachokufanyaga, ?

Kipa kepa ,aisee 3 nill zinakuhusu

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Europa ipi labda?
Top 4 kaona hali ngumu ,jumlisha na ratiba yake , ameona ajifichie Europa, amesahau Ana timu mbovu hata huko Europa tiamajitiamaji

Back
Top Bottom