Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,534
- 32,757
inategemeana na aina ya wachezaji-wachezaji aliwakuta klop ni wa kawaida sana hivyo lazima kumuchukua muda mrefu kujenga timu tofauti na wachezaji aliwo wakuta sari chelsea ambo wengi ni wa kiwango cha juuKaikuta timu anataka aibadilishe usidhani unapobadilisha mfumo ndan ya msimu mmoja ni jambo jepesi. Klopp mwenyewe huu msimu wa tatu anajenga timu. So far kadri siku zinavyoenda ndio unazidi kugundua makosa yako. Kwa muda aliokaa na timu toka achukue timu amefanya vizuri ni swala la muda tu.
Sent using Jamii Forums mobile app