Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,193
Kaikuta timu anataka aibadilishe usidhani unapobadilisha mfumo ndan ya msimu mmoja ni jambo jepesi. Klopp mwenyewe huu msimu wa tatu anajenga timu. So far kadri siku zinavyoenda ndio unazidi kugundua makosa yako. Kwa muda aliokaa na timu toka achukue timu amefanya vizuri ni swala la muda tu.Tuliwaambia Mapema Haya Kuwa SarriBall Ni pasi na kwenda Mbele tu Bila Ya Ushindi! Sasahivi Mushaanza Kutuelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app