Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

• Salah ana magoli 2
• Mane Ana Magoli 3
√ Liverpool imeshafunga Magoli 7
√ Katika 7 Salah Kafunga 2 tu
° Hayo 5 yaliyobakia Kafunga nani?

Sasa sijui Hii Post yako umekusudia Kusignify Kitu gani?
Mkuu Liverpool bila Salah timu itacheza chini ya kiwango ...magoli yanaweza kufungwa na Firmino an Mane lakini Salah asipokuwepo timu inakosa confidensi kabisa.

Ndo maana ya hiyo Comenti yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua hakuna team iliyowahi kuwa na possession kubwa kiasi hiki
Kama iko ruksa kunikosoa kwa pale england
Screenshot_20180826-200607.jpg


E&K
 
Mkuu huu mpira wa Sarri kwa ligi ya England asipobadilika atapata tabu sana kushinda.

Maana timu nyingi za England zinatumia sana kaunta taki.

Tumeshinda lakini mfumo wa Sarri sio wa kutegemea ushiñdi kwa asilimia hata 70%.

Sent using Jamii Forums mobile app
yani mpira wa hovyo mipasi mingi ambayo haina mpango-yani hawa chelsea wakikiutana na timu kama liverpool wazee wa counter watapata tabu sana
 
Klop ana msimu wa nne sasa bila kikombe huko jukwaani kwenu mnasema bado anajenga timu, uko hapa bize kumshambulia Sari , serious dude.Take a chill pill.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndiyo Klopp anatengeneza Timu Na Kila Mtu anaona Kutokana na Utafauti Wa Timu aliyoikuta na Anavyoibadilisha kidogokidogo that is why Hukutii Bodi ya Timu Kumpressurize Hata kama hana Kombe.

Ni tofauti na Sarri ambaye Kakuta Timu ipo imekamilika Yeye atumie tu bila ya Matengenezo Bali anaboresha tu.
 
Ndiyo Klopp anatengeneza Timu Na Kila Mtu anaona Kutokana na Utafauti Wa Timu aliyoikuta na Anavyoibadilisha kidogokidogo that is why Hukutii Bodi ya Timu Kumpressurize Hata kama hana Kombe.

Ni tofauti na Sarri ambaye Kakuta Timu ipo imekamilika Yeye atumie tu bila ya Matengenezo Bali anaboresha tu.
Mh Ngwaba,
Kwahiyo Chelsea imekamilika ila Liverpool bado inajengwa???!!!!!!!


Kweli...???!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom