</p>Mi mtu wa 'mke mmoja mme mmoja'..sina timu EPL.
<p></p>
<p> </p>
Nimekusoma mkubwa. Haya EPL huna timu, sawa, wap unatimu na n timu gani?. Si mbaya tukaijua siku ukishinda tukupongeza, say t, hata kama n Boca Juniors!
BTW hope hata EPL una vi element vya katimu flan, vp ww the Toffies nn?
Half time - tumeshapigwa moja bila.
Selling / Allowing them to go ( Free transfers ) Ballack, Deco, John Cole, Bennetti and Carvalho without classic replacements was bad decision ever.
Half time - tumeshapigwa moja bila.
Selling / Allowing them to go ( Free transfers ) Ballack, Deco, John Cole, Bennetti and Carvalho without classic replacements was bad decision ever.
Hahahahaha timu inaboa sana sijui tatizoi ni Carlo ama Ray Wilkins effecto ?
Carlo atakuwa ni scapegoat na Ray wengine watasema hivo ingawa naamini hata Ray angebaki jahazi lenu lilikuwa na muelekeo wa kuzama kutokana na kwamba the writing was already on the wall, kwa kweli sababu kuu ni wachezaji muhimu (key players) Lampard,Terry, Drogba, Anelka etc umri umeenda kidogo na akina Abramovich hawakuwa na plan nzuri ya tackle hii problem, 2 seasons ago ilitakiwa mu-introduce new bloods polepole, at least kijana mmoja kwa season ili waje ku-cover nafasi za hawa wakongwe, matokeo yake hawa wazee munawanalazimisha kucheza 20-30 games a season ambapo sio kazi rahisi.Hahahahaha timu inaboa sana sijui tatizoi ni Carlo ama Ray Wilkins effecto ?
Hahahahaha timu inaboa sana sijui tatizoi ni Carlo ama Ray Wilkins effecto ?
Noumer!! Poleni kwa hivi vichapo... Wachezaji wamechoka ama wameamua kugoma kwa sababu ya kutimuliwa kwa wilkins?
Carlo atakuwa ni scapegoat na Ray wengine watasema hivo ingawa naamini hata Ray angebaki jahazi lenu lilikuwa na muelekeo wa kuzama kutokana na kwamba the writing was already on the wall, kwa kweli sababu kuu ni wachezaji muhimu (key players) Lampard,Terry, Drogba, Anelka etc umri umeenda kidogo na akina Abramovich hawakuwa na plan nzuri ya tackle hii problem, 2 seasons ago ilitakiwa mu-introduce new bloods polepole, at least kijana mmoja kwa season ili waje ku-cover nafasi za hawa wakongwe, matokeo yake hawa wazee munawanalazimisha kucheza 20-30 games a season ambapo sio kazi rahisi.
Sababu 2 ya kwanza uchofu kutokana na mtiririko wa mechi kunako desemba/Januari, ni kipindi kigumu kutokana na weather condition plus umri na kucheza something like 3 games in a week when you are over 30, the physical demanding in Premier league inakuwa just impossible to perform on top of your game consistently la pili ni kwa vile wamepoteza game mfululizo confidence is at all time low kwa sasa which result in poor performance.Pamoja na kwamba kweli tuna kikosi kidogo, lakini nafikiri pia kuna kitu kwenye vichwa vya wachezaji maana hawaonekani kujituma kama kawaida yao na wanapoteza nafasi na wazi na mipira....in short hawako uwanjani.
Uliwaambia mapema kabisaKhe khe khe ati wachungaji? Wachungaji my a@s@sO Umafia umekwisha waharibu huoni jinsi walivyobebwa na yule refa Mike? na safari hii tutawaona maana Abraham o vich keshawambia fweza kwishnei. Chijui watakimbilia wapi?
Hii dozi imeishia wapi?Dose itabaki hiyo hiyo 6-0! Kukusahihisha hao si wenzetu
Na sasa mko namba ngapi kweli?Jukwaa la wastaarabu hili! Go Go Go Chelsea nimeambiwa na vyanzo vyangu Ustaadhi Malaria yuko Arsenal
Sorry watani Arsenal mliongoza ligi kipindi kirefu off season sasa kileleni yupo mwamba wenu