Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hodi hodi wenyewe mpooooo? Nasikia kuna Matanga mengine mmeanzisha vipi? Je, mlibebwa leo nasikia mlifunga goli la matuta? Khe khe khe kheeeeeeeee Je mmepata nafasi ya nne?

Emenalo_1769291b.jpg

...maskini Acheni Lote,....such a lonely and isolated figure throughout the game. Hana hata wa kushauriana nae tofauti na kipindi cha Ray Wilkins!

65283938-chelseas-ancelotti.jpg

Anelka Le Sulk ana matatizo gani these days?...Drogba na Malouda what's going on buddies?

Wazee wa Darajani, Peasant, Masa, Invisible, Ab Titchaz, Rev Kishoka, Sanda Matuta, Aljuniortz Poleni sana.

Paul+Clement+Michael+Emenalo+Birmingham+City+VFCiyRuWYuAl.jpg

Duuh! We're still performing so badly, something need to be done soon....but not sacking Carlo, I still believe in him.

KTBFFH

Pole Mkuu lakini kuna ahueni ya kuweza kutoa sare badala ya kupoteza points zote tatu.

_50641318_010932793-1.jpg

Aliyewaambukiza malaria wachezaji wenzake huyu hapa ..... ...... ...... loser ..... ..

Khe khe kheeeeeeeeeeeee
 
Hakuna kitu kitu kibaya kama timu kupata matokeo mabovu kila mechi kwa mfululizo bila kujua tatizo nini.ngoma yenu ngumu sana naona kila timu sasa itakuwa inaomba kucheza na nyie wakati huu.
 
main_12_682x400_1219606a.jpg

Cech mate! .... ...BANKER CLARK ... Petr Cech looks on as

Ciaran Clark's late equaliser beats him

Khe khe kheeeeeeeeeee
 
Watani hahahahaah nawaona mumeshikilia zile sehemu hahahahaah

Mkuu kama ni mgonjwa ICU saa hizi madaktari washakata tamaa wanaanza kunyofoa figo,maini wanawapa watu wanayohitaji kuweza kuendeleza maisha yao.

Ngoma yenu ngumu kinoma,liverpool walianza hivi hivi lol.
 
Ni aibu tupu, wala hakuna sababu ya msingi kujitetea. We do not deserve the championship title!
 
Duuh! We're still performing so badly, something need to be done soon....but not sacking Carlo, I still believe in him.

KTBFFH
Bring back Ray Wilkins or Gianfranco Zola, huyo mnaijeria ni mganga wa Kienyeji
 
Hakuna kitu kitu kibaya kama timu kupata matokeo mabovu kila mechi kwa mfululizo bila kujua tatizo nini.ngoma yenu ngumu sana naona kila timu sasa itakuwa inaomba kucheza na nyie wakati huu.
Walifanya la maana kufanya zengwe game dhidi ya Man U ikahairishwa
 
Bring back Ray Wilkins or Gianfranco Zola, huyo mnaijeria ni mganga wa Kienyeji

Mkuu hivi wewe umewahi kupigwa?

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee hakuna waganga njaa sijui wa kienyeji ulaya. ..... labda kama unamaanisha Chelsick waende kucheza League ya bongo khe khe kheeeeeeeee watamtumia shekhe Yahaya. Khe kheeeeeee wenzio chacha gombania nafasi ya 4/5
 
Hivi nyie Wachungaji (KISHOKA & MASANILO) mmeshindwa kuongoza sala kuepusha hili balaa
 
sport_splash2_1219635a.jpg

Wakuu wote wa Chelsick tulifikiri mmemaliza matanga.

Je, huu ni mwanzo na mwisho wa kelele zenu? Manager No. 9 ooops 8 anatinga lini?
 
Hivi nyie Wachungaji (KISHOKA & MASANILO) mmeshindwa kuongoza sala kuepusha hili balaa

Lazaro alipowekwa kifuani mwa Baba Ibrahimu, yule tajiri aliomba ati Lazaro arudi duniani akwaambie ndugu za Tajiri kwua kuan Jehanamu na watubu dhambi na kuishi maisha ya utakaso. Tajiri akaambiwa hata akija Malaika au Mungu mwenyewe, bado hawatasikia.

Ni sawa na Watanzania kusali CCM ianguke, ndivyoChelsea tunavyochechemea, hatuna uwezo wa kuamka na kujituma na kushinda ubingwa tena!
 
Hakuna kitu kitu kibaya kama timu kupata matokeo mabovu kila mechi kwa mfululizo bila kujua tatizo nini.ngoma yenu ngumu sana naona kila timu sasa itakuwa inaomba kucheza na nyie wakati huu.

Nafikiri ni combination ya vitu vingi vinavyosababisha kucheza vibaya....Wachezaji wa mbele hawaonekani kujituma, wanafanya makosa mengi sana kwenye midfield na defense kuliko kawaida, morali ya timu iko chini sana, we don't attack teams as we normally do!!!!
 
sport_splash2_1219635a.jpg

Wakuu wote wa Chelsick tulifikiri mmemaliza matanga.

Je, huu ni mwanzo na mwisho wa kelele zenu? Manager No. 9 ooops 8 anatinga lini?

Wewe ndio una kelele, ligi waongoze wengine wewe upige domo.
 
...ha ha ha, huyu mbantu hapa kulia nyuma ya goli/nyavu (mwenye koti la Chelsea) mmemuona alivyoyakamata mananihii yake?

ha ha ha, ananikumbusha zile za 'superstitious beliefs' kuyakamata kisawasawa mananihii ili goli lisiingie enzi za simba na yanga kina Ahmed Kipozi, Mikidadi Mahmoud na Charles Hillary walivyokuwa wakinadia "...la la la Gooooooo la la la" ...enzi za kina Edibily Lunyamila, Dua Saidi, Omar Hussein na Zamoyoni Mogella!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom