Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Samahani pia Chelsea ni timu ya WACHUNGAJI
Mchungaji Kishoka na Mchungaji mpya Masanilo

Khe khe khe ati wachungaji? Wachungaji my a@s@sO Umafia umekwisha waharibu huoni jinsi walivyobebwa na yule refa Mike? na safari hii tutawaona maana Abraham o vich keshawambia fweza kwishnei. Chijui watakimbilia wapi?
 
Khe khe khe ati wachungaji? Wachungaji my a@s@sO Umafia umekwisha waharibu huoni jinsi walivyobebwa na yule refa Mike? na safari hii tutawaona maana Abraham o vich keshawambia fweza kwishnei. Chijui watakimbilia wapi?

Beki la kifaransa 35 years lol
 
Beki la kifaransa 35 years lol

Yule anachukua nafasi walizoacha kina Sylvester/Gallas si uliona Gallas alikataa contract ya mwaka moja. Hakuna shida hapo tunaongelea fweza kuwa finished kutoka kwa Mafioso. Are you going to last the course?


CHELSEASPLASH_1105568a.jpg



Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
 
Mkuu usiwe na hasira! Zingatia matumizi ya herufi kubwa na vituo kwenye uandishi wako. Hii itasaidia kufikisha ujumbe wako.
Kumbe wewe ni mtabiri ni ngumu sana mimi kukuelewa ndugu yangu. Ninapata shida sana na ufahamu wako wa vitu vya msingi.
hapa hatugombani tunawekana sawa :becky: nakupa historia tu ya soka,kukuonyesha sio kilaza kama unavyonifikiri :becky:
 
Nimejaribu kusoma hapa nimekaribia kutapika, kwanza pumba na pili muandishi hazingatii taratibu za uandishi. Nadhani anahasira!
kaka samahani lakini kama naonekana ni jazba,ila hii nikuonesha japo mimi ni mshabiki wa timu fulani ila naongea kisoka na jinsi navyoijuua mpira ndugu yangu ukiangalia sana rekodi inachezeka,tuondoe mapenzi ya timu nadhani tutaelewana vizuri na tuongee vizuri,ndio maana saa nyingine inaonakana kama hasira naongea au jazba,sababu sio wote ila % kubwa ya wapenzi wa chelsea hawapendi ukweli na hii inazingatia ni kweli usiofishika wengi wameanza baada ya abramovich kuichukua,ni sawa leo ni wachache kupata wapenzi wa aston villa kwa nchi kama bongo achilia mbali england kwenyewe kwa hiyo si ajabu kesho ukasikia tajiri kainunua aston villa ikawa na kina messi,ronaldo ikatamba english premier ligi utasikia wapenzi lukuki halafu wakajifanya wanaijua vizuri aston villa,ndio ilivyo kwa wapenzi wengi wa chelsea,binafsi ktk tafiti yangu wengi wa wapenzi wa chelsea wametoka arsenal hata kama utanibishia ila ukweli utakuwa nao tu sema utaona aibu kusema,ila samahani kama naongea kwa jazba,si ajabu ukasema hata huu utumbo naoongea :becky:
 
Kuna kitu kinaitwa communication skills, kwanini usifanye hata part time? Mambo ya Sheikh Yahaya wengine hayapandi kabisa. Sorry buddy
pweza je :eyebrows:?kaka thatha hapo njomba sjakuelewa komunio skili?ila sawa itasaidia ,:eyebrows: sema wapenzi wa chelsea mnaongea sana huku rekodi yenu ni bora hata nottingham forest,ujumbe hakuna timu ya london iliyowahi kuwa bingwa ktk uefa champions league toka ianzishwe :eyebrows:
 
The blues, kama kawaida watatisha!nafurahi kuona wanavyoleta challenge kwa arsenal, man u..........................
 
The blues, kama kawaida watatisha!nafurahi kuona wanavyoleta challenge kwa arsenal, man u..........................

Bacha na Kituko

Msiwe mnajificha mashambulizi ya watani zetu jukwaani! Ningependa tupate golikipa kumsaidia Czec Hillario na Turnbull si wazuri wanafanana na Almunia
 
Bacha na Kituko

Msiwe mnajificha mashambulizi ya watani zetu jukwaani! Ningependa tupate golikipa kumsaidia Czec Hillario na Turnbull si wazuri wanafanana na Almunia

Stoke wanatubania yule golikpia wao wa pili, Begovic nafikiri angetusadia kuliko Hilario na Turnbull.
 
Chelsea squad for 2010-11

In accordance with new Premier League rules for this season, a squad list has today been submitted.
The squad can be up to 25 players and if the full 25 are named, eight must be classed as 'home-grown'. A reduced squad can be submitted if a club does not have eight falling into that category.
A home-grown player is one who, irrespective of his nationality or age, has been registered with any club affiliated to the Football Association or the Welsh Football Association for a period, continuous or not, of three entire seasons or 36 months prior to his 21st birthday (or the end of the season during which he turns 21).
In addition to the 25-man named squad, clubs can use an unlimited number of players aged 21 or under. An Under 21 player is defined as one who has been born on or after 1 January 1989.
These rules cover league games only.
Chelsea's submitted squad is
1. Petr Cech
2. Branislav Ivanovic
3. Ashley Cole
5. Michael Essien
7. Ramires
8. Frank Lampard
10. Yossi Benayoun
11. Didier Drogba
12. John Mikel Obi
15. Florent Malouda
17. Jose Bosingwa
18. Yury Zhirkov
19. Paulo Ferreira
21. Salomon Kalou
22. Ross Turnbull
26. John Terry
33. Alex
39. Nicolas Anelka
40. Henrique Hilario
Our Under 21 players who currently have a squad number are:
23. Daniel Sturridge
38. Patrick van Aanholt
43. Jeffrey Bruma
44. Gael Kakuta
45. Fabio Borini
46. Josh McEachran
Only in exceptional circumstances can the squad be changed before the January transfer window, apart from the addition of players not under contract to another club.

Chelsea website
 
Michael-Essien-Chelsea-Premier-League_2501155.jpg



A Drogba corner is headed home by Michael Essien after two minutes to give Chelsea a lead at Upton Park.


Salomon-Kalou-Chelsea-Premier-League_2501283.jpg




Michael-Essien-Chelsea-Premier-League_2501282.jpg




_49066454_parkerkalou_afp.jpg




 

Similar Discussions

Back
Top Bottom