Mnatembeza ushindi tu, Aisee(JK's famous word)ha ha
Nasubiri game ya Chelsea VS Arsenal
ngojeni muende white hart lane,man utd mwenzenu tayari kapata draw uwanja wenye nuksi craven cottage jana
tuombe uhai december 11 2010,hapo white hart lane spurs vs chelsea halafu tuone 6 kama azijageuka kwenu,spurs mna miaka 8 hamjamfunga white hart lane.Dose itabaki hiyo hiyo 6-0! Kukusahihisha hao si wenzetu
tuombe uhai december 11 2010,hapo white hart lane spurs vs chelsea halafu tuone 6 kama azijageuka kwenu,spurs mna miaka 8 hamjamfunga white hart lane.
tuombe uhai december 11 2010,hapo white hart lane spurs vs chelsea halafu tuone 6 kama azijageuka kwenu,spurs mna miaka 8 hamjamfunga white hart lane.
Nina wasi wasi na ufahamu wako Mzee!
Kwa kukusaidia siku nyingine usiandike bila kufanya utafiti kidogo
Tarehe 19.3. 2007 White Lane Chelsea 2 Tot 1
Tarehe 27.8.2005 hapo hapo WL Chelsea 2 Tot 0
Historia za mechi zote unaweza pata hapa
Full results history of Spurs v Chelsea
hiyo ya mlioshinda ni fa cup,kaka mimi najua vizuri rekodi yenu kwa spurs bado mbovu white hart lane,nakumbuka toka enzi za kina ginola wanawatesa sana white hart lane hawa jamaaNina wasi wasi na ufahamu wako Mzee!
Kwa kukusaidia siku nyingine usiandike bila kufanya utafiti kidogo
Tarehe 19.3. 2007 White Lane Chelsea 2 Tot 1
Tarehe 27.8.2005 hapo hapo WL Chelsea 2 Tot 0
Historia za mechi zote unaweza pata hapa
Full results history of Spurs v Chelsea
hiyo ya mlioshinda ni fa cup,kaka mimi najua vizuri rekodi yenu kwa spurs bado mbovu white hart lane,nakumbuka toka enzi za kina ginola wanawatesa sana white hart lane hawa jamaa
kaka na wewe nyamaza,sisi sio mpaka google,tumeanza kufuatilia soka siku nyingi,sasa mwenzio hiyo anayotoa chelsea kumfunga spurs kwake mara ya mwisho 2007 ilikuwa ktk fa cup sio ligi,chelsea wana zaidi ya mechi kama sikosei 8 hawajashinda white hart lane,hatuongei kwa kufurahisha baraza,rekodi tunazo,sisi sio kama wengi wenu chelsea abramovich,usifikilie google tu,tuna rekodi ya mechi zingine hata google hauzipati,sijifagilii ila soka nimeanza kufuatilia muda mrefu,sasa angalia wewe ktk google halafu angalia chelsea kama ina rekodi ya kushinda white hart lane,inaelekea hata nikukuambia brazil hana rekodi nzuri kwa france utabisha mpaka uangalie google sio,haya kaangalie google kwa timu za katavi na lidicoDuuh! Kweli wewe ni mweupe sana kwenye soka ya England, hizo data ulizopika hapo ni kiboko! Nina wasiwasi sana na uelewa wako, yaani hata umeshindwa ku-google angalau upate factual data kabla ujamwaga upupu wako hapa!!!!:shocked::shocked::shocked::shocked:
kaka wewe nae unang'ang'ania google haya niambie mechi gani ya ligi miaka ya toka 2000 tusiende mbali sana au abramovich alipochukua timu 2004 mlioshinda white hart lane,sio darajani,mimi sio kilaza kaka najua chelsea vizuri toka enzi za kina dennis wise,kocha wa wba, mark hughes sina ukilaza wewe unategemea google,mimi ntakuambia hadi goli lilifungwa upande gani mwa screen halafu ugoogle ktk youtube,siongei kwa kuropoka rekodi ninazo nimeona mechi zenu spurs vs chelsea live nyingi ninazijua bila hata kugoogle,spurs ni wababe wenu,ila arsenal ni msimu uliopita ndio kachapwa na spurs baada ya takribani miaka 10 ktk ligiBado unaendelea kuonyesha ukilaza wako hebu gonga hiyo link niliyokupa. Bwabwaja kwa facts na data
kaka wewe nae unang'ang'ania google haya niambie mechi gani ya ligi mwaka mlioshinda white hart lane,sio darajani,mimi sio kilaza kaka najua chelsea vizuri toka enzi za kina dennis wise,kocha wa wba, mark hughes sina ukilaza wewe unategemea google,mimi ntakuambia hadi goli lilifungwa upande gani mwa screen halafu ugoogle ktk youtube,siongei kwa kuropoka rekodi ninazo nimeona mechi zenu spurs vs chelsea live nyingi ninazijua bila hata kugoogle,spurs ni wababe wenu,ila arsenal ni msimu uliopita ndio kachapwa na spurs baada ya takribani miaka 10 ktk ligi