Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

images

PicImg_Football__Tottenham_2f21.JPG

images
 
Mick-McCarthy-John-Terry-Wolverhampton-Wander_2547809.jpg




Baada ya kuuza unga ... .... ... khe khe kheeeeeeeeee






Stephen-Hunt-Wolverhampton-Wanderers-Premier-_2547740.jpg




Si nilikwambia JT amewagawia unga baada ya kubwiga vya kutosha

lazima tuwatungue tu khe khe kheeeeeeee








_50679303_010949046-1.jpg



Thats your lotte ... khe khe kheeeeeeeeeeeee








_50679974_drogba-afp.jpg


Maumivu ya kichwa khe kheeeeeeeeee
 
Toka wamnyime mkataba yule kocha msaidizi na kuamua kuondoka CHELSEA imeyumba sana mpaka leo...
 
Anceloti nae anasubiri kutimuliwa? bora aondoke zake mapema
 
Maskini chesii........hivyo ndivyo naweza kuielezea hali hii


'' naona kama jahazi limeshatoboka vile,na tar'tiiibu maji yanaanza kuingia kwenye chombo,nahodha makini anapaswa kuanza kugawa majaketi okozi a.k.a life jackets, hakuna dalili ya chombo kufika pwani salama, ni taharuki kwa kila mmoja, na wale wenye roho nyepesi wameanza kusali sala za toba na kuziombea roho zao makao mema peponi''

Pole chesiiii a.k.a ze blues, a.k.a wazee wa darajani
 
Didier Drogba has admitted the Chelsea dressing room has been "suffering" during Chelsea's recent run of disastrous form and says his own performances have been hampered by his battles with injury and malaria.
''It has not been easy to regain my strength but we need the points and my presence is necessary. I have always sacrificed for the team – and Chelsea need me.''

...hawa salama yao wampumzishe Drogba kwa mechi tatu au nne mfululizo, Anelka awe main striker akisaidiana na Sturridge.
Drogba form yake ime dip sana, lakini kwakuwa jamaa (Drogba) ana big ego, wala haoni jinsi aura yake inavyo sambaza losing mentality among the rest!

Ni mbantu mwenzangu, namtakia sana mafanikio yake, lakini kwa sasa anachemka bana, na umri ndio huoo...33yrs kwa mcheza mpira wa kibantu mnh.

Wakati umefika arudi darasani kujiendeleza kielimu, huenda siku moja atachaguliwa UN Goodwill ambassador kama mchezaji mwingine wa Chelsea miaka ile, George Opong Weah!

_1455610_weahallsport300.jpg
 
kweli wazee wadarajani tupo kwenye hali mbaya, maana sasa tunaanzan kupigania nafasi ya kucheza Champions league, kwa muda kama huu na Man ndio kakaa pale ubingwa darajani ni njozi
 
zile kelele za bao saba wenyewe utasikia wiki,6 sijui 4 bila hakuna tena siku hizi,sasa wasubiri kushuka bridge wasipoangalia wazee wa darajani.
 
Chelsea can go to hell!

Mkuu vipi? Yamekushinda?



Didier-Drogba-Chelsea-Premier-League_2547777.jpg



Rev what colour is that? khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee naona umebaki peke yako

Daraja la makuti bado lipo .... .....


article-1344446-0CA849FF000005DC-386_634x546.jpg

Mama miaaaaaaaaaaaaaaaaaa


article-1344446-0CA84DA6000005DC-1000_634x412.jpg

Firing blanks: Saloman Kalou slides the ball past Wayne Hennessey but wide of the goal


article-1344446-0CA8678A000005DC-730_634x581.jpg

Tempers flare: Didier Drogba (third right) clashes with Stephen Hunt after the full-time whistle


article-1344446-0CA8812A000005DC-406_634x437.jpg

All gold: Wolves keeper Wayne Hennessey (left) and George Elokobi (right) celebrate after the final whistle


Niliwaambia mafioso hamuwezi kupata marefa

mnaowapa mpunga kila mechi


khe khe khe kheeeeeeeeeee
 
Jamani Mungiki brother yupo bado Kibera ana hamu kweli ya kurudi maana flying toilets zinamuharibu sura chijui kama kweli wengi wataweza kumkumbuka ... .... ..... hala hala inawezekana hata REV Kishoka naye akaanza kuwa Invisible


BTW mkuu Mbu usiwaletee zile hesabu anazofanya Armanolo chijui nani za Binomial series kwa sababu wengi kwenye daraja la makuti walikimbia umande ... ... khe khe kheeeeeeeeeeee
 
...watani mmekimbia ukumbi na majamvi yake? Bundi mmemfuga wenyewe huyo,
mchinjeni mumle nyama!

chelsea-fans1.gif



...mtoto umleavyo, akikua matokeo yake kama haya 😛ray:😛ray:😛ray:


drogba20_468x402.jpg
 
Hahahahaha timu inaboa sana sijui tatizoi ni Carlo ama Ray Wilkins effecto ?

Tatizo ni mmiliki wa club, anafanya maamuzi ya ajabu ajabu - yes hili la kumtimua Ray ndilo mzimu hasa wa Chelsea kupoteza ubingwa wake.
Bado sijafikia hatua ya kuhoji uwezo wa Carlo, nafikiri ni huyu Roman anawachanganya wachezaji - tena mkiangalia alikuwa na utaratibu wa kutembelea wachezaji kwenye mazoezi na kuhudhuria games za nyumbani ila hajafanya hivyo kwa game zaidi ya 15 sasa sijui ana mawazo gani?

Mi nafikiri angejitokeza na kuongea na wachezaji na kuwapa moyo - kinachokosekana hapo si tactical bali ni ari ya ushindi haipo kabisa.

http://www.thesun.co.uk/sol/homepag...-boss-Ancelotti-My-players-still-want-me.html
 
Chelsea ni utumbo mtupu na sioni aibu kukiri! Ni kichwa cha Mwendawazimu kama Tanzania ilivyo!
 
Things will turn arround very soon, i still have a belief on Chelsea fc though we have given away our premier championship.

Ni kweli inasikitisha sana hasa hii game ya juzi na Wolves sikuamini kilichotokea. inawezekena game ya kesho kutwa na Ipswitch ( FA CUP) ikawa turning point yetu, I still have a belief on carlo and players.

Players also need to be at their top level, we need 100% perfomance from Essien, Lampard, Drogba na Peter Cech to start winning games again.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom