Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea-v-Aston-Villa-Ashley-Young-Emile-Hesk_2546552.jpg

Shhhhhh .........usimwambie mtu Chelsick bado wamelala ......

Mgosi unajua kile kichwa ulichowakung'uta Mafioso team

ni cha utu uzima .... khe khe kheeeeee
 
Chelsea-v-Aston-Villa-Petr-Cech-goes-wrong-wa_2546536.jpg

Cech analikimbia goli lake

khe khe kheeeeeeeeeee

Chelsea-v-Aston-Villa-Ciaran-Clark-goal_2546572.jpg

Now its Over we can go khe khe kheeeeeeee

Chelsea-v-Aston-Villa-Gerard-Houllier-Gary-Mc_2546574.jpg

Thats my team ... .... .... khe khe kheeeeeeeeeeeeee

Chelsea-v-Aston-Villa-Lee-Mason-Villa-protest_2546532.jpg

Mbona unawabeba sana hawa hawabebeki ...... .. khe khe kheeeeeee

Chelsea-v-Aston-Villa-Michael-Essien-Nigel-Re_2546550.jpg

Essien anatoa zawadi ...... ...... khe khe kheee

Chelsea-v-Aston-Villa-Petr-Cech-John-Terry-FT_2546573.jpg

Losers ..... ..... .... khe khe kheeeeeeeeeeee
 
Habari zilizoingia hapa JF kutoka Kibera zinasema Mungiki brother yupo hapa alikuwa anachungulia tu toka mechi ilipochezwa wakati wa mchana kwa sababu ndio source yake ya habari. Angalau kwa mara ya kwanza Rev Kishoka Oooops sio kwa mara ya kwanza huyu, Peasant na Rev Masanilo walionekana kurandia jukwaa hawakuwa Invisible kwani kulikuwa na mategemeo makubwa ya ushindi lakini dakika za nyongeza zimewaharibia sherehe zao za mwaka mpya hivyo matanga back to square one!

Wamesema hawakubali yaishe hadi mwezi May .... ....... ....khe khe khe kheeeee kwa hiyo kule Kibera kwa masikitiko flying toilets zitaharibu sura ya Mungiki Brother hivyo hala hala siku akiingia msimsahau maana atakuwa na makovu.

Happy new year the Chelsick football Club the Mafioso team khe khe kheeeeeeeeee
 
Follow the bee nimemwona anarusha masumbwi jukwaa la siasa!
 
Ni aibu tupu, wala hakuna sababu ya msingi kujitetea. We do not deserve the championship title!

Msema kweli siku zote ni mpenzi wa Mungu. Poleni Mkuu, lakini bado kuna kipindi kirefu kati ya sasa na May ambacho mnaweza kufanya kweli na kutoa ushindani unaostahili kwa timu ambazo ziko juu yenu.

Duh, wachezaji kukatiwa pensheni ndio wanaharibu hivi?? another Liverpool in making..lol
 
Nashindwa kuelewa kama Will Ferrel wetu kama alikuwa na superb sheet-clean sheet mwaka jana mwaka huu anakwepa nyuki kama Joseph Katuba? Wampumzishe kwa muda au guze vidonda vya kwenye nyonga ampe Turnbul nafasi!

Chelsea-v-Aston-Villa-Petr-Cech-goes-wrong-wa_2546536.jpg
 
Tuache uongo, hiki kikosi kilikuwa cha mauaji. I miss Carvallho, Deco na hata Mchovu Ballack!

Chelsea-Minute-s-Silence-Stamford-Bridge-Prem_2382385.jpg
 
Poleni sana wakuu Rev Kishoka na Invisible..............duuhh
 
CarloAncelotti_1219846a.jpg

HEAD IN HANDS ... Carlo Ancheni Lotte reacts to Chelsick throwing away

the lead in added time ...... ..... ..... ...... as they went from heroes to zeros

in just three minutes .... ..

Khe khe kheeeeeeeeeeeeee
 
Chelsea-v-Aston-Villa-Petr-Cech-goes-wrong-wa_2546536.jpg

Cech analikimbia goli lake

khe khe kheeeeeeeeeee

Chelsea-v-Aston-Villa-Ciaran-Clark-goal_2546572.jpg

Now its Over we can go khe khe kheeeeeeee

Chelsea-v-Aston-Villa-Gerard-Houllier-Gary-Mc_2546574.jpg

Thats my team ... .... .... khe khe kheeeeeeeeeeeeee

Vivi kuna jamaa nampiku huyu Wacha1 kwa kucheka!

khe khe kheeeeeeeeeee
 
Msema kweli siku zote ni mpenzi wa Mungu. Poleni Mkuu, lakini bado kuna kipindi kirefu kati ya sasa na May ambacho mnaweza kufanya kweli na kutoa ushindani unaostahili kwa timu ambazo ziko juu yenu.

...honestly, sikutegemea hawa jamaa wakipatwa na malaria ya Drogba wanaugulia kiasi hiki!

images

"...kuteleza sio kuanguka!"

CarloAncelotti_1219846a.jpg

HEAD IN HANDS ... Carlo Ancheni Lotte reacts to Chelsick throwing away

the lead in added time ...... ..... ..... ...... as they went from heroes to zeros

in just three minutes .... ..

Khe khe kheeeeeeeeeeeeee

...ha ha ha, kama Emenalo ni 2nd in command, mbona kachakachuliwa hapo kwenye benchi,
kulikoni?

whistling.jpg

...he he he
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom