Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Goli la estevao kuondolewa Sijaelewa aisee, hata graphics iliyoonyeshwa kuonyesha ilikuwa offside haikuwa na uhalisia wa mpangilio halisi wa wachezaji
 
HV9vh7fWQAEywXS.jpg
 
Bila shaka umeona ubora wa estevao, huyu hafai kukaa benchi kamwe.
Mbele Kuna Joa Pedro
Pedro Neto na Morgan Rogers
Unadhani hapo Estevao atacheza namba ya nani? Kwenye mfumo wa Alonso ataishia sub ya Cole Palmer tu akichoka au Alonso akikubali 4-2-3-1, Estevao atakuwa Sub ya Pedro Neto kweney winga wa kulia. Sasa Chelsea wametoka Carabao, bado naoan chanagtmoto ya Estevao na mwenzake Quenda kwenye kupenya kwenye lineup ya Alonso
 
Bado sijaona tamko kwa Lavia.
Lavia ni mtu na nusu.

Fofana ni kiazi, hajui kudefend hajui kutoa pass yaani ni bogasi.
 
Makocha ni wawili tu tangu wamiliki wakimarekani waje

Thomas Tuchel
Enzo maresca

Hawa wengine tumebet tu
Binafsi naimani na Alonso bila kujali nafasi atakayoshika Msimu huu Kwa kuangalia record yake Kwa team alizofundisha huwa msimu wake wa pili ndio unakuwaga mzuri
 
Mbele Kuna Joa Pedro
Pedro Neto na Morgan Rogers
Unadhani hapo Estevao atacheza namba ya nani? Kwenye mfumo wa Alonso ataishia sub ya Cole Palmer tu akichoka au Alonso akikubali 4-2-3-1, Estevao atakuwa Sub ya Pedro Neto kweney winga wa kulia. Sasa Chelsea wametoka Carabao, bado naoan chanagtmoto ya Estevao na mwenzake Quenda kwenye kupenya kwenye lineup ya Alonso
Kocha ana nafasi ya kutengeneza mazingira ya Neto na Estevao kubadilishana kama ambavyo anaweza Kwa Henderson na Lavia kuliko kutompa nafasi kabisa halafu kumbuka Estevao ana back up ya Management kama ilivyo Kwa Acheampong hata Maresca alivyoonesha Hana nafasi kwenye team yake still uongozi uligoma hata kumtoa mkopo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom