Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
Tatizo ni mmiliki wa club, anafanya maamuzi ya ajabu ajabu - yes hili la kumtimua Ray ndilo mzimu hasa wa Chelsea kupoteza ubingwa wake.
Bado sijafikia hatua ya kuhoji uwezo wa Carlo, nafikiri ni huyu Roman anawachanganya wachezaji - tena mkiangalia alikuwa na utaratibu wa kutembelea wachezaji kwenye mazoezi na kuhudhuria games za nyumbani ila hajafanya hivyo kwa game zaidi ya 15 sasa sijui ana mawazo gani?
Mi nafikiri angejitokeza na kuongea na wachezaji na kuwapa moyo - kinachokosekana hapo si tactical bali ni ari ya ushindi haipo kabisa.
Chelsea boss Ancelotti: My players still want me | The Sun |Sport|Football
...aaah, kama wachezaji ndilo wanalodekea, basi hawapo sawa vichwani, mijitu mizima 'idekezwe' mpaka lini?...Gavana wa Chukotka - Abramovich sasa hivi kaelekeza nguvu zake kwenye World Cup 2018!
Chelsea ni utumbo mtupu na sioni aibu kukiri! Ni kichwa cha Mwendawazimu kama Tanzania ilivyo!
hapana mchungaji, ni kipindi cha mpito tu hiki, najua mta recorver siku si nyingi. Kila team inapitia phase hii...ingawa SAF sijui ana kizizi yule?...sasa hivi wachezaji wa Manure wana morale ya kumaliza ligi bila kupoteza mchezo waisawazishe record ya Arsenal!
Things will turn arround very soon, i still have a belief on Chelsea fc though we have given away our premier championship.
Ni kweli inasikitisha sana hasa hii game ya juzi na Wolves sikuamini kilichotokea. inawezekena game ya kesho kutwa na Ipswitch ( FA CUP) ikawa turning point yetu, I still have a belief on carlo and players.
Players also need to be at their top level, we need 100% perfomance from Essien, Lampard, Drogba na Peter Cech to start winning games again.
...Tangu World Cup ya mavuvuzela kule bondeni, Michael Essien hajarudia tena kiwango chake cha uchezaji.
Maneno iko kwa Peter Cech, kuna kipindi alikuwa top goalie kwenye EPL, these day amekuwa uchochoroooo...ehe he he... Didier Drogba Malaria ndio imekuwa sababu!
au mnam miss sana Carvalho?...mbona mlianza ligi kwa vishindo tu? ...nini kimewatokea hamuwezi tena kufunga zile 'sita kwa sita?'