Tatizo washabiki wa Chelsea wabishi sana, tuliwaambia mkifika Dec/Jan/Feb lazima muanze kuchechemea mkapiga mikelele weeeh sasa mnaona taratibu mnadrop point na leo mngechezea kichapo isingekuwa kubebwa lol.
Hili ni kweli kabisa na kwa mtazamo wangu afadhali Chelsea wamkose Drogba lakini sio Anelka.Masanilo nilikwambia Drogba bila Anelka hamna kitu
Tatizo washabiki wa Chelsea wabishi sana, tuliwaambia mkifika Dec/Jan/Feb lazima muanze kuchechemea mkapiga mikelele weeeh sasa mnaona taratibu mnadrop point na leo mngechezea kichapo isingekuwa kubebwa lol.
"The Invincible" achana nao kabisa mkuu! Ila nikiangalia kikosi chetu cha sasa uzoefu wa miaka 4 kuwa pamoja na udhaifu wa Utd na L'pool msimu huu nahisi tunaweza kufanya kweli, Chelsea ndio tishio la kweli lakini tutawajua January.
Chelsea ni 6 cylinder engine (Cech,Terry, Lampard,Essien,Anelka na Drogba) Coming January watakuwa ni 4 cylinders engine.
Masanilo nilikwambia Drogba bila Anelka hamna kitu
Thanks nawe pia mkuu tupo pamoja sana wanadarajani..
![]()
inamana hizi draw mbili tatu zilizotokea hapa karibuni ndio zimemfanya drogba akonde kiasi hiki? na mbu wa africa hawana huruma ukienda na mawazo ndio kabisa lazima wakupige malaria.
Mbu umenichekesha sana we wacha tu. Lakini AV aliwapeleka fainali Champions League.
![]()
inamana hizi draw mbili tatu zilizotokea hapa karibuni ndio zimemfanya drogba akonde kiasi hiki? na mbu wa africa hawana huruma ukienda na mawazo ndio kabisa lazima wakupige malaria.
...nasikia keshaweka mezani transfer request huyu, 'destination' under the wraps kwasasa, kina Masa na Ab-titchaz wasijekosa kuuona mwaka 2010 bure kwa shinikizo la damu...
Khe khe khe sasa vipi?
Chelsea 0 - 1 Fulham Mnataka kurudisha matanga nini?