Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,266
Mnabebwa hambebekiGo go go Chelsea!
Mnabebwa hambebeki
Nyumba gani hamna lolote, nimeanza kuamini Drogba bila Anelka hamna kitu
Nyumba gani hamna lolote, nimeanza kuamini Drogba bila Anelka hamna kitu
Tangu wameanza kucheza pamoja Anelka amekuwa akimsaidia sana Drogba,to prove angalia game ambazo Drogba akicheza bila AnelkaDrogba na Anelka nani ameaanza kucheza Chelsea?
Tangu wameanza kucheza pamoja Anelka amekuwa akimsaidia sana Drogba,to prove angalia game ambazo Drogba akicheza bila Anelka
Unaangalia mechi za timu yako au unapiga kelele tu?Mkuu huwa unaangalia kombe gani? Kwenye CL Drogs alifungiwa mechi tatu za mwanzo nadhani matokeo unayajua, vinginevyo labda umeamua kujaza thread!
Unaangalia mechi za timu yako au unapiga kelele tu?
Wakati Drogba kafungiwa magoli alikuwa anafunga Anelka, hata ile game Drogba alivyorudi akafunga magoli 2.Anelka alianza benchi na alivyoingia ndio magoli yakapatikana
![]()
Jamaa kashikwa baada ya kutoka kuuza unga sasa kavamia tiketi.
Du! Chelsick wanatisha kwa Umafia!
John Terry Secret Cash Scandal NOTW Bofya hapo kwenye bluukaka umeamua kuongea tu kufurahisha wana JF wasio wapenzi wa chelsea? JT hajawahi kukamatwa au kijishirikisha na biashara ya madawa, na fuatilia vizuri hii issue ya tiketi uelewe. usisome mwanasport then ukaleta hapa hoja zako hazijapembuliwa.
Ukitaka omba msaada utafahamishwa the whole issue.
kaka umeamua kuongea tu kufurahisha wana JF wasio wapenzi wa chelsea? JT hajawahi kukamatwa au kijishirikisha na biashara ya madawa, na fuatilia vizuri hii issue ya tiketi uelewe. usisome mwanasport then ukaleta hapa hoja zako hazijapembuliwa.
Ukitaka omba msaada utafahamishwa the whole issue.
![]()
Like for like
Like father like son
ha hah ha ha, najua hii story lakini haikuwa na ukweli wowote baada ya upelelezi, walitaka kuuza magazeti.
ENGLAND football captain John Terry's dad is today sensationally caught on video selling deadly COCAINE.
In scenes that will shock the millionaire Chelsea ace, Ted Terry, 55, fixed a deal to supply an undercover News of the World team with the illegal Class A drug.