Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Angalia pia na aina ya wachezaji mliokuwa nao hiyo misimu uliyoitaja enzi hizo za ubingwa..
"The Invincible" achana nao kabisa mkuu! Ila nikiangalia kikosi chetu cha sasa uzoefu wa miaka 4 kuwa pamoja na udhaifu wa Utd na L'pool msimu huu nahisi tunaweza kufanya kweli, Chelsea ndio tishio la kweli lakini tutawajua January.
Chelsea ni 6 cylinder engine (Cech,Terry, Lampard,Essien,Anelka na Drogba) Coming January watakuwa ni 4 cylinders engine.
 
haha sisi watoto wa darajani bana si mchezo kuna yule mtoto very slipy anaitwa kalou km akina drogba wakichemsha yupo kalou akina cole tehe lazima mashetani wekundu wazame mara tatu bila pale darajani
 
Kama mtaweza kumaintain performance ya siku za hv karibuni mtakuwa kweli wapinzani wazuri kuelekea ubigwa.Ingawa ni kweli ubigwa bado itategemea na marekebisho timu zitakayofanya January pamoja na viwango vya timu wa kwanza wa pili na watatu.
 
haha sisi watoto wa darajani bana si mchezo kuna yule mtoto very slipy anaitwa kalou km akina drogba wakichemsha yupo kalou akina cole tehe lazima mashetani wekundu wazame mara tatu bila pale darajani

uko sawa kabisa mkuu
 
The battle of the midfields will dictate the winner of this game, I see only Chelsea winning, Essien, Lampard and co will be too strong for Utd quarter plus their record at Bridge is excellent. 2 - 0 to Chelsea
Last season tulimweka babu GIGGS akawafunuka wote,leo waanze Fletcher,Giggs na Carick DROGBA anamfahamu VIDIC kazi imekwisha
 
Wakuu,

Ninaweza kuicheki hii game online? Kupitia mtandao gani? For free though!

Asante!
 
Chelsea will line up in a 4-diamond-2 formation as follows:
1 Petr Cech
2 Branislav Ivanovic
6 Ricardo Carvalho
26 John Terry (c)
3 Ashley Cole
5 Michael Essien
13 Michael Ballack
8 Frank Lampard
20 Deco
39 Nicolas Anelka
11 Didier Drogba
Substitutes: 40 Hilario, 19 Paulo Ferreira, 33 Alex, 12 John Mikel Obi, 15 Florent Malouda, 10 Joe Cole, 21 Salomon Kalou.
 
hawa mashetani watakuwa hivi

Man United are expected to line up in the following 4-5-1 formation:
Van der Sar; O'Shea, Brown, Evans, Evra; Valencia, Fletcher, Carrick, Anderson, Giggs (c); Rooney.
Substitutes: Kuszcak, Fabio, Gibson, Vidic, Obertan, Scholes, Owen.
The referee is Martin Atkinson.
 
hawa hawaanzi!!

For Man United, there is no Dimitar Berbatov nor Nemanja Vidic in the starting line-up.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom