Bye bye Drog the Bar Usisahau ukienda Angola usifunge magoli mtolewe mapema hapa darajani hali ni mbaya sana. Nimeongea na roman o mabrovic amesema ataweka fweza kama kawaida, jamaa wametukalia kooni sana. Unafahamu ile number yetu ya simu ya siri au Siyo?
Drog the Bar mawazo yalikuwa mbali sana anafikiria jinsi anavyoweza kuwa mchezaji bora Africa? Damn it Chelsick!
Mkuu usiwe na wasiwasi kuhusu hawa wachezaji 4 wa africa walioondoka darajani yaani Drogba, Kalou, John Obi Mikel na Michael Essien (anaumwa nyonga)
Kikosi kina vipaji vingi tu wala usiwe na wasiwasi juu ya hili na kukuhakikishia hili we cheki ngoma jpili kombe la FA utaamini maneno yangu. Kumbuka tutacheza game 4 tu za premiership wakati hawa mastaa wetu wakiwa africa, ni Hull, Sunderland, Birmingham na Burnley.
Kwa sasa wanacheza Diamond midfider formation, ambapo anaweza kuwatumia Deco, Lampard, J cole, Malouda, Ballack, Bellete na Yury Zhirkov ingawa pia huwa anaweza cheza beki wa kushoto.
Mbele ambako wengi wana wasiwasi anaweza kucheza Anelka na dogo mwenye speed sana Daniel Sturridge. Pia itakuwa nafasi kwa wachezaji makinda kuonyesha uwezo wao kama Sam Hutchinson, Fabio Borini na Gael Kakuta.
Timu ni kocha bwana, Carlo anajua ku get out of players.. na ndiyo maana tunasisitiza kocha kocha hata kwenye timu yetu hapa
Jiulize:
1. Mbona City wamemtimua kocha wao ?
2. Jiulize Chelsea walimtimua kocha wao Big Phil - kwa nini
3. Jiulize Boltom wamemtimua kocha wao - kwa nini
4. Sisi wetu hadi amalize mkataba sababu siasa imo humo humo ndani-
Kocha ana influence kubwa sana kwenye timu, kocha akichoka kama wetu inakuwa mzigo kwa taifa has sisi wapenda soka tunaumia sana.
Kheri ya mwaka Mpya - Chelsea fun's- Habari tu ni mwamba tunamnunua yule kinda wa A- Madrid.