Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Vijana wa darajani Ab-Titchaz, AljuniorTz, ELNINO, Invisible, Kigogo, Masanilo, Mvina, Sanda Matuta na wengine wote, nawatakia Xmas njema na mwaka mpya wenye furaha tele.
Blue is color!
 
Vijana wa darajani Ab-Titchaz, AljuniorTz, ELNINO, Invisible, Kigogo, Masanilo, Mvina, Sanda Matuta na wengine wote, nawatakia Xmas njema na mwaka mpya wenye furaha tele.
Blue is color!

Thanks u too Mkuu, kumbuka kuangalia game mbili Jumamosi (Boxing day) away to Birmingham pale St Andrews Stadium na Monday at home against Fulham. Best wishes all Chelsea fan's.
 
Haya peasant sisi wengine hatuna majina Merry Christmas na furahia mwaka mpya kwa Chelsick kubamizwa kwani fweza kwishnei usisahau kwenda kulima tu kwani hatutaki njaa na wewe elnino peleka vimbunga vyako kwa wamarekani usivilete kwa wabongo . TZ lazima iwe invisible unapoweka elnino zako kwa sababu kigogo yuko mlangoni anatoa saluti kwa akina mvina na masanilo. AB na sanda matuta wao wanachekelea tu. Khe khe khe mwaka huu 2010 wale waliodhania Premier League ni chandimu watajijuu. Nawatakia ushindi vijana wa Cottagers na Birmingham hadi kieleweke tu. Tafadhali msirudishe matanga.
 
00mal_280x390_908186a.jpg

CHELSEA face a Christmas crisis after losing ALL their regular strikers for next Monday's derby with Fulham.
Nicolas Anelka is out for at least three games after tearing a hamstring in training last week. And now boss Carlo Ancelotti must release Didier Drogba and Salomon Kalou to the Ivory Coast after the Boxing Day trip to Birmingham.

Khe khe khe kazi moja tu wana Cottagers msikubali kupokea kitu kidogo.
 
Vijana wa darajani Ab-Titchaz, AljuniorTz, ELNINO, Invisible, Kigogo, Masanilo, Mvina, Sanda Matuta na wengine wote, nawatakia Xmas njema na mwaka mpya wenye furaha tele.
Blue is color!
Na wewe pia mkuu.
Yes, blue is the color.
 
Vijana wa darajani Ab-Titchaz, AljuniorTz, ELNINO, Invisible, Kigogo, Masanilo, Mvina, Sanda Matuta na wengine wote, nawatakia Xmas njema na mwaka mpya wenye furaha tele.
Blue is color!

Nakutakia kila la kheri mkuu,na wewe pia.
 
Vijana wa darajani Ab-Titchaz, AljuniorTz, ELNINO, Invisible, Kigogo, Masanilo, Mvina, Sanda Matuta na wengine wote, nawatakia Xmas njema na mwaka mpya wenye furaha tele.
Blue is color!
Thanks nawe pia mkuu tupo pamoja sana wanadarajani..
 
Nawatakia Xmas njema na Heri ya mwaka mpya wa 2010 wanamichezo wote wa humu jamvini JF(Wazee wa Mamn Utd,Chelsea,Liverpool,Tottenham,Man City),Bila kuwasahau wapenzi wote wa EPL,VodaCom Premier League,Ligi ya Zenji,Bundesliga,La Liga,Eredivisie,Ligue 1,Serie A Nn.k,nwatakia mafanikio ninyi binafsi na timu mzipendazo katika mwaka mpya wa 2010...Pamo jah
 
_46995442_sturridge_dann_pa466260.jpg

Khe khe khe khe khe Chelsick wametupilia mbali ile away kit yao ya blue wanasema ina mkosi wameamua kuvaa nyeupe na shorts nyeusi.

Mambo bado yai kwa yai.
 
_46995507_ancelotti_pockets_getty3415.jpg

Chelsick wameanza kubebwa huko St Andrews so sad. Khe khe khe khe
Sasa ile blues for what? Sijui ndio marehemu vile Half time yai kwa yai.
 
Malouda two yellow cards he is off. 1 minute to go.

Referee anawapa dakika 6 za majeruhi.
 
ligi ya mwaka huu ni ngumu, mshindi anaweza asifikishe point 85.
 
_46995442_sturridge_dann_pa466260.jpg

Khe khe khe khe khe Chelsick wametupilia mbali ile away kit yao ya blue wanasema ina mkosi wameamua kuvaa nyeupe na shorts nyeusi.

Mambo bado yai kwa yai.

Hii ndiyo kit yenye bahati Khe khe khe khe naona sasa waanze kutafuta mchawi. Acelotti kibarua kinaanza kuota nyasi.
 
2394101305-26122009151917.jpg

Mama mia!

01_drog_253x160_955021a.jpg

Pamoja na Drog the Bar kusali
Mambo hayakuwa mswano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom