CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

Ajue kuwa watu wanakufa! Hizo nchi anazosema kuwa zinaitegemea Tanzania ajue baadhi wameshafunga mipaka ingawa kwao hakuna maafa kama kwetu! Mwambieni aelewe kuwa vilevile kauli za kuudhi kama hizi siyo lazima azitoe hadharani. Huyu mtu sijui ubinadamu aliuachaga wapi!

Huyu tutakumbushana. Tunaomba Mungu hali isiwe tete lakini ikiwa tete tutaulizana.

Si walitamka wenyewe na mashabiki wakashangilia?

Tunajifanya wakristo kuliko Yesu Kristo mwenyewe.
 
IMG-20200410-WA0234.jpg


digba sowey,
Kwa trend hii bado hamtaki kujikinga?
 
BENNICK,
Tusikariri kwamba kufunga mipaka ndio suruhisho. China waliweka lockdown na kufunga mipaka imesaidia. Kuna jimbo moja Usa hamna Lockdown na wamefanya uchaguzi, ila social distacing imezingatiwa sana.

New york kuna lockdown lakini ndio state inayoongoza kwa maambukizi na vifo. Na leo wamekiri social distancing inasaidia.

Mimi nafikiri serikali yetu iangalie sana hili. Namna gani wataweza kufanya watu wazingatie social distancing.

Kama kuna uwezekano hata wiki tatu pawe na hatua kali kudhibiti mrundikano wa watu. Ugonjwa huu unaambukizwa kwa chafya na kukohoa.
 
Back
Top Bottom