canne siame
Member
- Sep 17, 2015
- 5
- 5
Pole mkuu, nilishawakupata kadhia ya namna hiyo kwa malipo ya paypal kwenda entinty ya UK, nilihangaika sana na benki hola, nikachek na voda hola. It seems malipo ya paypal kwa tz haiwezekaniHabari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk husika kuona kama kuna tatizo wamenambia wao hakuna tatizo nmewachek aliexpress pia na wao vivyo hvyo mbaya zaid wamenambia nitumie paypal cha ajabu kwa account yangu hakuna option ya kulipia kwa paypal cjui ni kwa wote au la
Kama kuna yeyote aliekutana na hii kadhia tujulishane alifanyaje au itakua ni mfumo tu umeyumba kwa siku za hvi karibuni nimekua nikilipia mara kadhaa hvyo hii imekuja ghafla tuu juzi hapa
picha inaonesha message nayoipata nikitaka lipia
Aidha Posta au kupitia courier wao yupo mbele ya nyumba ya Kikwete ukitokea Zantel kuelekea Kariuki Hospital.Mkuu samahan, hapohapo naomba nikuulize, ..ukiagiza na hawa jamaa mzigo unaupokea kwa njia gani?
Wanaofisi zao Kwa baadhi ya mikoaMkuu samahan, hapohapo naomba nikuulize, ..ukiagiza na hawa jamaa mzigo unaupokea kwa njia gani?
Me nipo mwanza na postal code sinaAidha Posta au kupitia courier wao yupo mbele ya nyumba ya Kikwete ukitokea Zantel kuelekea Kariuki Hospital.
Me nipo mwanza na postal code sina
Asante mkuuKla mtaa tanzania una posta code yaka tumia hyo kwa kuiangalia hapo google
Wacha kupoteza muda huenda huna salio la kutosha .mbona mimi nafanya kwa voda na inafanya kaziHabari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk husika kuona kama kuna tatizo wamenambia wao hakuna tatizo nmewachek aliexpress pia na wao vivyo hvyo mbaya zaid wamenambia nitumie paypal cha ajabu kwa account yangu hakuna option ya kulipia kwa paypal cjui ni kwa wote au la
Kama kuna yeyote aliekutana na hii kadhia tujulishane alifanyaje au itakua ni mfumo tu umeyumba kwa siku za hvi karibuni nimekua nikilipia mara kadhaa hvyo hii imekuja ghafla tuu juzi hapa
picha inaonesha message nayoipata nikitaka lipia
MlolongoPole mkuu, nilishawakupata kadhia ya namna hiyo kwa malipo ya paypal kwenda entinty ya UK, nilihangaika sana na benki hola, nikachek na voda hola. It seems malipo ya paypal kwa tz haiwezekani
Akili ikaja tatizo likatatuliwa chap.
Fanya hivi, link kadi yako ya Mpesa na account ya paypal. Then fanya malipo kwa paypal chap kwa haraka.
Then njoo unipe mrejesho hapa,
Huna haja ya hayo jaza jina familia mkoa na nchi tu ma number za simuzigo unafika mkoani kwako kwa mwanza ofisi zikoza speedaf pale nyanza karibu tanesco au cbe oldMe nipo mwanza na postal code sina
Hili ndo tatizo lake hakuna kukimbia kimbia atumie voda afanye coversion ya currency kwa kutumia bank kuu sio google na makati ya voda ayazingatie , hizo bei zinazoweowa kwa Convo ya TZS Haina uhalisia set currency usd then go bank kuu fanya coversion kamazigo ni 100k weka 110k wakate chao then reload card to mpesamkuu unapesa ya kutosha kwenye acount yako? maana kuna yale makato ya aliekupa iyo kadi, sijajua huwa ni asilimia ngap inategemea na mtandao au bank gan, hii inaweza ikawa sababu mojawapo pia...
Nimeshaagiza vitu vingi kwa AliExpress, mzigo huwa unakuja kwa ndege na utaupokea kuanzia siku ya 13 mara baada ya kufanya malipo., mzigo utaletewa mpaka ulipo kama ulijaza location yako vyema kupitia kampuni ya Speedaf.Mkuu samahan, hapohapo naomba nikuulize, ..ukiagiza na hawa jamaa mzigo unaupokea kwa njia gani?
Mkuu samahan, hapohapo naomba nikuulize, ..ukiagiza na hawa jamaa mzigo unaupokea kwa njia gani?
Mkuu kwema, hao speedaf unakontact zao ushare hapa, maana hiyo location ni ngumu kuwapata, old cbe ni kama vile imekuwa shoping mall na juu ni hotel. Ninauhitaji wa kuagiza bidhaa kwa kutumia alexpress so ukinisaidia kupata hiyo kampuni ntashukuru🙏🏾Huna haja ya hayo jaza jina familia mkoa na nchi tu ma number za simuzigo unafika mkoani kwako kwa mwanza ofisi zikoza speedaf pale nyanza karibu tanesco au cbe old
Humo humo ndani ingia mpaka mwisho uliza speedaf watakuonyesha hakuna number mzigo ikifika wanapiga simu, zamani walikuwa pale jengo la madini karibu na sabasababilemela wakaamia balewa mitaa ya nuakahoja now wako hapo cbeMkuu kwema, hao speedaf unakontact zao ushare hapa, maana hiyo location ni ngumu kuwapata, old cbe ni kama vile imekuwa shoping mall na juu ni hotel. Ninauhitaji wa kuagiza bidhaa kwa kutumia alexpress so ukinisaidia kupata hiyo kampuni ntashukuru🙏🏾
Thank you in advance mkubwa🙏🏾Humo humo ndani ingia mpaka mwisho uliza speedaf watakuonyesha hakuna number mzigo ikifika wanapiga simu, zamani walikuwa pale jengo la madini karibu na sabasababilemela wakaamia balewa mitaa ya nuakahoja now wako hapo cbe