nyumbani kwenu

Live New Posts Postings About

    • nyumbani kwenu reacted to Odense's post in the thread Halotel MIFI with Thanks Thanks.
      Sawa kichunguze tujue, maana airtel ndo michezo yao hio , wanalimit gb kwa siku.
    • nyumbani kwenu replied to the thread Halotel MIFI.
      ninkwel naendelea kukichek, nitatoa mrejesho pia, na huwa wanafanya hivo ikifika maximum karibia na bando kukata mwishon mwa mwez, kwa...
    • nyumbani kwenu replied to the thread Halotel MIFI.
      ni kwel Airtel ni chaguo bora ila tu, kwenye hiki ni ishu ya kua portability, unakua nacho muda wowote ata matembezini
    • nyumbani kwenu reacted to Mwl.RCT's post in the thread Halotel MIFI with Thanks Thanks.
      Nadhani Airtel ni chagua bora zaid kwa watumiaji wapya
    • nyumbani kwenu replied to the thread Halotel MIFI.
      Habarin wana Jf, nilishindwa kupata mrejesho wa hiki kifaa, ikabid nijitose tu nikichukue, mrejesho wangu kwenu baada ya kutumia hiki...
    • nyumbani kwenu replied to the thread Halotel MIFI.
      hicho unaweka mfukon mkuu, ni kidogo sio kikubwa, kuna vidogo zaidi ya hapo ila nadhan havina line za unlimited
    • nyumbani kwenu replied to the thread Halotel MIFI.
      kwa package zao, ndio ziko ivyo
    • nyumbani kwenu replied to the thread Halotel MIFI.
      mkuu wanatangaza ni unlimited, ndio maana nilitaka kama kuna mmoja anakimiliki atudhibitishie hayo
    • nyumbani kwenu replied to the thread Halotel MIFI.
      kuna package tofauti wameandika,elfu 50 unlimited ya 10mbps,kuna elfu 70 wanakupa 30mbps, na 100,000/= 50mbps
    • Habarini wana Jf, anaemiliki hiki kifaa cha halotel MIFI, ambayo wamekitangaza hivi karibuni, atusaidie kutoa mrejesho, speed yake ya...
      • IMG_4436.jpeg
  • Loading…
  • Loading…
Back
Top Bottom