account

 1. M

  Natafuta field( account, finance and planning)

  Naitwa Mourine Elisha, mwanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha( IAA), Niko mwaka wa pili nikichukilia Bachelor degree in Economics and finance. Natafta sehem kwa ajili ya field I'm competent in accounting, finance, economics and planning. Kwa yeyote anaejua au maelekezo anaeweza kunitafta kupitia...
 2. B

  Waziri Ndugulile, tunaomba uruhusu akaunti ya PayPal Tanzania

  Mh. Waziri Ndugulile pamoja na Benki Kuu ya Tanzania sisi vijana tusio na ajira tunaomba mruhusu account za paypal ziweze kuruhusu kupokea pesa ili tujiajiri na kazi za mitandaoni. Tunakuomba sana mheshimiwa Waziri utusaidie. Huku mtaani hali ni mbaya sana. Natanguliza shukrani.
 3. H

  Natafuta mtu mwenye account ya Uber/ Bolt na haitumii kwa sasa

  Salaam, Kama titlle inavoeleza,natafuta ambaye anayo account ya uber/bolt(driver account) na haitumii kwa sasa labda kapata mishe mingine. Kama unayo na ungependa kuitoa kwa mtu kuitumia katika kazi na utapata percentage yako kwa wiki kutokana na makubaliano,tafadhali tuwasiliane kupitia namba...
 4. SEASON 5

  Jiongezee Kipato : Natafuta Mfanyakazi wa Kuziendesha Account zangu za Social Networks

  Kama wewe uko home tu huna kazi yeyote yawezekana upo unatafuta kazi bado hujapata au ni mama wa nyumbani,au ni kaka wa nyumbani kazi yako kubwa ni kuingia mtandaoni kusoma kuangalia dunia inaendaje nk. Leo nimekuja natafuta mtu aina yako,ambaye ataweza Post matangazo 24/7 na kujibu comment za...
 5. Geza Ulole

  Kwanini account ya Msemaji Mkuu wa Serikali haiko "verified"?

  Hivi kati ya Account ya Msemaji Mkuu wa Serikali na ile ya binafsi ya Gerson Msigwa ipi ni ya muhimu zaidi? Mbona ya Msemaji Mkuu wa Serikali haiko verified lakini ya binafsi ipo? Ni makusudi au?
 6. Baby Nimah

  Nawezaje kupokea hela kutoka nje ya nchi bila kuwa na akaunti ya Benki?

  Hey guys ! I hope mko powa,mm sipo pow sana afya yangu inamgogoro kidogo God is good all the time nitakaa sawa Nina rafiki yangu yupo UK alikuwa anataka kunitumia pesa kidogo akaniuliza una account ya bank nikamwambia sina,akaniuliza kama kuna namna nyingine ya kutuma, Jf kuna wa somi wengi na...
 7. manchoso

  Nimesahau password account yangu ya yahoo

  Habar zenu Ndugu zangu naomba kama kuna yeyote ana ujuzi wa kuniwezesha kulog in nimesahau pasword na pia kuna secrete questions pia zisikumbuki nimejaribu nimeshindwa Nahitaji sana hiyo email yang kwa mda huu Msaada wenu tafadhali
 8. M

  Msaada: Napataje AVN na ikiwa nilishawahi unda account lakini taarifa zake nilipoteza?

  Jamani msaada napataje AVN ikiwa nimesahau username na password nilizizitumiaga pindi najisajiri.
 9. Red Giant

  Msaada, napata message. Your payments on instagram have been posed because of unusual Account activity

  Msaada wakuu, nifanyeje ili niendelee kuadvertise insta.
 10. Red Giant

  Wakuu fungueni account za social media na mzikuze mapema

  Hizi ishu baadaye huwa mtaji mkubwa sana. Wale followers wanakuja kuwa wateja wazuri. Hata ukiamua kuanzisha kakitu tayari unakuwa na wateja wa kutosha. Ningekuwa nipo active huko toka zamani leo nisingekuwa nahngaika kujitangaza. Tusidharau facebook, insta na Twitter. Fungua account na...
 11. Geza Ulole

  Mwinyi’s account on the Rwanda genocide shock

  Mwinyi’s account on the Rwanda genocide shock SUNDAY MAY 16 2021 Second phase President Ali Hassan Mwinyi gestures at a past event. He writes in his memoir ‘Mzee Rukhsa: Safari ya Maisha Yangu’ that the Rwanda genocide was one of the saddest matter to have occurred in the Great Lakes...
 12. Grand Canyon

  Nifungue ipi kati ya NMB Bonus Account vs CRDB Saving Account

  Nina mpango wa kufungua akaunti ya akiba ili niwe nahifadhi pesa. Kisha baada ya mwaka ni draw zikiwa na interest nizifanyie wazo ambalo nitakuwa nimepanga. Kwa wazoefu ipi ni nzuri zaidi, na je kuna tofauti gani kati ya hizo nilizotaja na Fixed Deposit Account? Ahsante kwa msaada wenu.
 13. Miss Zomboko

  Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

 14. M

  Msaada: Instagram account ya biashara inagoma

  Habarini ndugu zangu. Mwenye ujuzi naomba anisaidie, account yangu ya biashara ambayo nilikua na promote products zangu ghafla inakataa inanipa ujumbe huu.
 15. F

  Wakuu, nimekuta mil 300 kwenye Bank account yangu - sizijui!

  Naomba ushauri tu, leo nimekuta Mil 300 zimo kwenye account yangu ya Benki - Sijui zilikotoka sasa naomba ushauri kwenu: 1. Niripoti bank yangu kwamba kuna mzigo sijui ulikotoka 2. Nikae kimya kwanza kusikilizia 3. Nianze kuzitumbua 4. Nizihamishe fasta kwenye acc nyingine 5. Nizitoe zote nikae...
 16. K

  Kwanini Spika Ndugai anawapigia upatu Wachina bandari ya Bagamoyo? Achunguzwe kama hana akaunti ya Benki nje

  Mimi nina wasiwasi wa huyu Spika wetu na China. China wamekuwa wakinunua viongozi wa Africa kwa manufaa yao. Leo hii baada ya Rais Magufuli kufariki huyu spika sasa anataka kumburuza Rais Mama Samia kwenye mtataba wa kuuza bandari ya Bagamoyo kwa China. Lengo la China liko wazi na walishasema...
 17. ENANTIOMER

  ONLINE SELFOR: Nimesahau password ya ku-login katika account, nifanyenye nipate password mpya?

  Habari za asubuhi ndugu wataalamu. Nilisajili account ktk selform.tamisemi.go.tz ili niweze kubadili tahasusi, bahati mbaya nikashau password niliyoiweka kipindi najisajili. Msaada wenu tafadhali, nifanyenyeje niweze kupata password mpya itayonuwezesha kuingia ktk account yangu ili niweze...
 18. Bujibuji

  Fake Kikwete's Twitter Account

  Huu ujasiri Watanzania tunaupata wapi? TCRA, Polisi , wako kimya, wameshindwa kumkata huyu aliyefoji account ya Mzee Kikwete? Mmeshindwa kwa Kigogo, na Sasa mmeshindwa tena kwa huyu anayechafua na kuharibu image ya rais mstaafu.
 19. zanzibariani

  I m a computer Engineer but I can't even hack a facebook account

  Nimeanza kwa umombo kwa title hapo juu. Nina degree ya uhandisi katika hii fani pendwa.... Nilikuwa mtu wa Mungu Sana wakati napiga security. Sasa katika eneo la ku compromise Akaunti za watu niliona natenda Dhambi. Nawaza sana watu wanaodukuana. Mimi sinauwezo wa kuhack hata Akaunti ya...
 20. Infantry Soldier

  Kwani Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haiwezi kuwa na accounts za malengo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza?

  Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Kwanini Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) isianzishe campaign ya kuhamasisha wazazi kuanza kuwalipia watoto wao pesa kidogokidogo katika accounts maalum ya bodi wangali wakiwa bado wanasoma elimu ya msingi (Darasa la Kwanza)? Jenga picha mtoto...
Top Bottom