Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,405
- 5,529
Kama alizungumza hv basis alkosea sana huwezi leta masikhara kwa kiongozi mkubwa kama raisi.
Bora umetumbuliwa mkuu kila LA kheri huko uraiani
Bora umetumbuliwa mkuu kila LA kheri huko uraiani
Huyu ni kichaa kapewa rungu!!
😂😂 hapo kwenye mwendakuzimu ndo nimepapenda zaidi.Hayo ndo yalikuwa majembe ya mwendakuzimu
View attachment 1814982
TUliwaambia huko nyuma, huyu Chalamila ni chizi!
Pombe ilikuwa inamtesa snInawezekana wakati anaongea hayo alikuwa amelewa, ningependa kujua historia yake huyu jamaa, anaonekana hajali mambo madogo madogo.
Nasikia kaliwa kichwa tayari.....Sasa yeye kwa uchizi wake anahamasisha mabango mpaka ya matusi. Hovyo kabisa na ameonesha alivyo punguani!
Wengine wakivuta Bange ( Bangi ) Akili zao ndiyo huwa nzuri zaidi na hata kuleta Tija na Ufanisi ila kwa wengine ( hasa huyu ) inaonyesha kabisa kuwa Yeye aliipenda ila ' Mmea ' wenyewe haukumpenda hadi Kukuharibia rasmi ' Kitumbua ' chake huko Mkoani Mwanza.
Hata kwa muonekano muundo wa kichwa chake unaleta mashaka sana
Si mliwahi msikia mwendazake akitamba kuwa katika teuzi zake, anawateua machizi wenzake?
Si mliwahi msikia mwendazake akimsifia waziri wa zamani wa mifugo, kuwa katika teuzi zake, anawateua machizi wenzake?
Ndiyo maana katumbuliwa!!!! Kweli chizi!!!!
Yawezekana hiyo kauli ndiyo sababu ya utenguzi
huyo kafanya makusudi alijua kuwa anatakiwa kotoka mbona hakuwa kukosea enzi za magufuli