Si mama alisema mabango hataki?
Kwa mtazamo wangu mimi nadhani RC hakuwa na maana ya kuhamasisha watu waje na mabango ya matusi ya kumdhalilisha MAMA. Kwasababu zifuatazo:

1. Kama alikuwa na nia ya kuhamasisha watu kuja na mabango ya matusi ya kudhalilisha, angefanya mpango huo kwa siri, na asingeweka wazi hadharani.

2. Nakumbuka Rais aliwahi kusema kwamba hataki kuona mabango anapofanya ziara, na kwamba akiona bango hata moja, basi atachukua hatua. Kwahivyo, nadhani RC alikuwa ana maanisha watu waje kwenye mapokezi ya Rais, na hata wakitaka kuja na mabango pia waje nayo, yeye RC anajiamini na kwamba inawezekana wanachi wakakosa hoja za msingi za kuandika kwenye mabango, na hivyo hata wakitaka kumtukana RC kwenye mabango ruksa.

3. Nadhani tujipe nafasi ya kutazaama clip yote ya alichokiaema RC ndio tunaweza kupata maana halisi ya alichokia anamaanisha.

Vinginevyo natoa pole za dhati kwa mstaafu Mh. RC Chalamila kwa yaliomkuta.
 
Mdomo wake umeponza kichwa.
Aseme mwenyewe alimaanisha nini!
 
Ni pombe na kukurupuka, ninadhani anajuta hata kukaa mbele ya kamera siku ile.
 
Naomba utusaidie kuweka clip yote...maana nataka kuamini JF Platform lazima tuwe na integrity of the information we share. ...au iwe verified.
 
Kilichompata RC Mwanza kinaweza kuwapata viongozi wengi waandamizi wa Taifa letu. Mhe. Rais kwa nafasi yake utoa maelekezo na dira kupitia hotuba mbalimbali anzotoa. Kama viongozi hawawezi kusikiliza hotuba za Rais ni vigumu kujua kaelekeza Nini na kakataza kitu gani.

Mhe. Rais alishasema akiona Bango liwe ni bango la issue za Kitaifa yaani kero au hoja anayopaswa kuifanyia kazi yeye. Kwa kuwa RC alikuwa busy na propaganda hakuwahi kumsikiliza boss wake na ndiyo maana hotuba za kwa wananchi zinakinzana kwa kiasi kikubwa na anachotaka Rais.

Lakini pia Jiji linahitaji watu makini na wenye vision, toka aripoti mwanza huoni Kama kuna Jambo alilokwenda kufanya special.

Ni wito wangu kwa viongozi kuanza Sasa kumsikiliza mwenye nchi, watenge muda wamsikilize hata recorded lakini pia wawe wepesi kutafsiri hotuba zake kulingana na sekta waliyopo. Msipokubali kufuata principle za mteule mtatumbuliwa daily
 
..siku zote viongozi wanashauriwa kuwa na notes / dondoo za mambo wanayotaka kuzungumza mbele ya wananchi au vyombo vya habari. kama RC Chalamila ametumbuliwa kwasababu ya uropokaji basi nadhani RC Makongoro Nyerere naye achunge kauli zake.
 
Hii video ina trend sana huko kwenye magrupu ya FB, WhatsApp, Instagram nk.

Sina hakika kama hawa kinamama ni wa CHADEMA, ACT Wzalendo, wa CCM au ni "KINAMAMA TU" in general.

Back
Top Bottom