Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,818
- 11,996
Pole Tanzania CHADEMA itapita tu lakini Tanzania itadumu milelemmmh, upepo ulionekana kabisa poleni chadema
Ni uhuni wa kitoto kabisa, waacheni washinde, kuepusha mauaji ya makusudiMimi nilijitoa mapemaa kwa kutojiandikisha !
Hongereni sana CHADEMA,Haya ni Maamuzi sahihi ili kuliweka Taifa katika hali ya amani. Mshindani wenu Mkuu dhamira yake imekufa kabisa yupo tayari kwa lolote bila kujali afya ya amani ya Taifa letu. Sasa kunusuru hali hiyo uamuzi huo kwa sasa unahitajika.Naona mpira umetiwa kwapani saaa
Wengi walitabili hili sasa rasmi CCM imeshinda mapema
Kauli ya mwenyekiti imenukuliwa na vyombo vyote baada ya kikao cha kamati kuu View attachment 1256620
Swadakta ni uamuzi sahihiNaona mpira umetiwa kwapani saaa
Wengi walitabili hili sasa rasmi CCM imeshinda mapema
Kauli ya mwenyekiti imenukuliwa na vyombo vyote baada ya kikao cha kamati kuu View attachment 1256620