Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Nimejiuliza sana juu ya kinachoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa nimeshindwa kuelewa nini hasa malengo ya watawala kwenye uchaguzi huu.
Nimejaribu kuangalia nchi nyingi hasa za Ulaya na America ambazo zimepiga hatua kwenye maendeleo, uchumi,elimu, demokrasia n.k
Sijawahi kusikia kitu Kama hiki cha wagombea wa upinzani kuondolewa eti kwa kukosa sifa.
Haya ni maajabu ya kipekee sana.
TUMEKUWA TAIFA JINGA kwa hakika.
Ujumbe wangu kwa kila mwenye kupenda nchi yetu ajiepushe na ujinga huu unaotaka kulazimishwa na watawala.

TAIFA LETU AMANI YETU.
 
tena tumekua wajinga hasaaa...tunachezewa kama midoli na hatufanyi lolote...
 
Kwa Rais wetu mpendwa John Pombe Joseph Magufuli
Pamoja na Waziri Mwenye dhamana Suleiman Jafo

Nimemepokea kwa mshangao mkubwa matokeo ya ulejeshaji fomu za kuwania nafasi ya uwenyeviti wa mitaa kama ilivyozoeleka uchaguzi huu kuitwa uchaguzi mdogo ila mimi nauona tofauti na mazoea ya yaliyozoeleka naouna kama uchaguzi mkubwa na wa muhimu sana katika demokrasia na utawala katika jamii

Mwenyekiti wa mtaa

>Mwenyekiti wa mtaa ni kiongozi aliyekaribu zaidi na wanaichi katika mtaa husika

> Mwenyekiti wa mtaa ni kiongozi ayewajua raia wake vizuri tabia zao na mwenendo wa kila moja katika mtaa

>Mwenyekiti wa mtaa ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama katika mtaa

Hizo ni baadhi ya sifa ni mejalibu kueleza kidogo lakini mwenyekiti wa mtaa ni nguzo muhimu katika jamii

Janga la taifa fomu kukosewa na wagombea hasa wa upinzani

MTAZAMO WANGU

1; Vyama hivi wenda vimefanya makusdi kwakuwa walikatazwa kufanya mikutano ya hadhara ili kuonesha dunia kuwa Tanzania hakuna demokrasia na kuminya Uhuru
Hii inaweza ikawa ni mpango wa wapizani wamejaza vibaya makusdi kabisa wakijua zitakataliwa

2; Wagombea hawakupewa elimu ya ujazaji fomu hizo

3; Wapinzania wametumia ule mkutano wa Rais na Watendaji wa mtaa kuwa aliwapa maelekezo ya kuminya upinzani kuhushusha hii inaendana na hoja yangu ya kwanza

4; Baadhi ya watumishi walippewa dhamana ya kusimamia uchaguzi huu ili kumwangusha Rais ilikuoneka utawala wake hauzingatia katiba na sheria sasa hili kundi ndo linalomuangusha Rais akiwanalo ndani ya watumishi wake ambao siyo wazalendo

tatizo wana mbwembwe Kama side chicks
Hivyo kupelekea Ku loose focus
 
Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Kata ya Kigamboni, Mtaa wa Feri Wagombea wote wa upinzani Hawajateuliwa. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Kata ya Mabibo Mtaa wa Matokeo Wagombea wote wa Upinzani Hawajateuliwa. Jimbo la Ubungo, Kata ya Manzese: Mtaa Chakula Bora - Wagombea wote wa upinzani wameondolewa na CCM wote kupitishwa Ruangwa, Lindi: wagombea wote wa vyama vya upinzani wameondolewa. Pia taarifa kutoka Liwale Mkoa huo huo wa Lindi viongozi wote wa upinzani wanatafutwa na vyombo wa dola Mtaa wa Jitegemee kata ya Mabibo Maelekezo ya Kitowateuwa Wagombea wetu wa ACT Wazalendo na Vyama Vyengine Vya Upinzani kwa Nafasi zote na Kuwapitisha CCM peke yao Mtaa wa Golani, Kata ya Kimara kwa Wagombea Wote ACT Wazalendo na Chadema Wamekatwa na Msimamizi kutekeleza Maagizo CCM kimepita bila kupingwa katika vijiji 12 kati ya 62 na vitongoji 110 kati ya 294 vya jimbo la Hai baada ya wagombea wa vyama vya upinzani kutochukua fomu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa,msimamizi wa uchaguzi katika jimbo hilo, Juma Masatu Kasoga amesema. View attachment 1254688View attachment 1254689View attachment 1254690View attachment 1254691View attachment 1254692View attachment 1254693View attachment 1254694View attachment 1254695View attachment 1254696View attachment 1254697View attachment 1255167View attachment 1255259View attachment 1255257

Ni kweli, imefikia hatua hata mtu akiwa nje ya nchi anaona aibu kujitambulisha kuwa ni Mtanzania
CC:
Jiwe
Arafu tumekua waoga kweli Dunia inatushangaa kama kweli tuko sobar watu 55m wanapelekeshwa na watu 4 au 5. Humu kwenye million 55 kuna wasomi matajiri wakulima wakubwa Maraisi wastaafu watumishi wa Umma mapadiri ma sheikh nk.....hao watu wote wanaona ila wanaburuzwa na watu wawili tu kuna haja ya utafiti katika uelewa wa Watznia kwakweli wako normal na sense 5.
 
Naona kinachofanywa na utawala uliopo ni kujikweza kutaka kuwaonesha watu nje ya nchi kuwa wanakubalika kwa wananchi.
Ila kiuhalisia ni wanavunja katiba ili kuyapitisha wanayoyataka
Sasa kama mlihamasisha wanachama wenu wasijiandikishe kwenye daftari la wapigakura mnategemea mini? Cha ajabu eti tena huyo huyo mwanachama ambaye hakujiandikisha anakwenda kuchukua fomu ya kuomba kuwa kiongozi wakati Kanuni 13 (e) ya uchaguzi inasema mgombea lazima awe amejiandikisha!! Yaani wapinzani kwenye vichwa vyao unaweza fikiri hawana ubongo!!
 
Arafu tumekua waoga kweli Dunia inatushangaa kama kweli tuko sobar watu 55m wanapelekeshwa na watu 4 au 5. Humu kwenye million 55 kuna wasomi matajiri wakulima wakubwa Maraisi wastaafu watumishi wa Umma mapadiri ma sheikh nk.....hao watu wote wanaona ila wanaburuzwa na watu wawili tu kuna haja ya utafiti katika uelewa wa Watznia kwakweli wako normal na sense 5.
Wewe acha uongo wanaolalamika hata million hawafiki wengi wanaikubali sana serikali ya awamu ya tano ndiyo maana hata mkipiga kelele mitandaoni watz wanawadharau tu. Ingekuwa watz wanawakubali lazima wangeingia mitaani ndiyo maana 2015 angalau kiasi fulani watz walikuwa wanawakubali wapinzani hasa baada ya Mh. Lowassa kujiunga upinzani. Sasa upinzani uko hoi bin tabani.
 
Mkuu uoga na umasikini na kukosa muamuko ndo vinavyo fanya wtznia wakae kimya kama unabisha weka mazingira ya uchanguzi huru uone jinsi wtznia walivyo chukia ila tu hamna namna
 
Mkuu ikiwa Mlima Kilimanjaro hadi leo uko Kenya na Serengeti iko hukohuko Kenya huku Tanzanite pamoja na jikuta lile bado inatoka India unathubutuje kujitangazia udanganyika?
Ni kweli, imefikia hatua hata mtu akiwa nje ya nchi anaona aibu kujitambulisha kuwa ni Mtanzania
CC:
Jiwe
 
Matokeo ya kikao kile kizito cha watendaji kata ndio haya.
Chadema kuamua kususia uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, mjiandae kususia na uchaguzi mkuu. Mziki utakaopigwa ndio huu huu.
 
Sasa kama mlihamasisha wanachama wenu wasijiandikishe kwenye daftari la wapigakura mnategemea mini? Cha ajabu eti tena huyo huyo mwanachama ambaye hakujiandikisha anakwenda kuchukua fomu ya kuomba kuwa kiongozi wakati Kanuni 13 (e) ya uchaguzi inasema mgombea lazima awe amejiandikisha!! Yaani wapinzani kwenye vichwa vyao unaweza fikiri hawana ubongo!!
Wakati mwingine nyie Wqseng€ huwa mnapenda kuwatafutia watu ban. Wewe umezoea kutiwandio maana unaropoka kama dushe lipi ndani.

Kwa akili yako unaona mambo yanayofanywa na ccm kwa kushirikiana na polisi ni sawa.

Mbwa wewe....
 
Chama hiki hakikujipanga kwa ajili ya ushindani hii ni kutokana na udikteta wa viongozi wao kuendesha chama, kila agizo linatoka kwao tu hakunà kushirikisha wanachama, tangu 2015 hakipendwi tena na wananchi.

Inakuaje taasisi kubwa hivi ikakosa intelejinsia ya kung'amua kuwa serikali itatukatia majina ya wagombea wetu na je? tufanyaje sasa ili wasitukate?....Hamkujipanga mlikurupuka kwenda vitani kwa kutegemea mtashinda bila kuwa na mbinu bora.

CCM ilishinda vita ndipo ikaingia vitani, nyie mmeingia kimachomacho tu bila kuwa na plani B, mnavuna mlichopanda 2015.
 
Mambo mengine yanaiaibisha Ccm yenyewe. wao kwa akili zao wanajiona wajanga kumbe chenga tupu.Hao wote waliogombea kupitia vyama vya upinzani nakuonekana hawawezi kujaza fomu ni wananchi wa hii nchi inayoongozwa na Ccm toka uhuru nakama niswala la Elimu na ujinga au werevu wote wameipata kupitia Sera na mfumo wa elimu uliosimamiwa na Serikali ya Ccm sasa inastaajabisha eti mgombea akiwa Ccm anaakili nyingi zakumwezesha kujaza fomu kwa usahihi ila wavyama vya upinzani ni mbumbumbu.Pamoja na kwamba mfumo wa elimu ni mbovu ila sidhani kama kuna wajinga wengi kiasi hicho wakushindwa kujaza fomu ambayo ata mtoto wa darasa la 4 anaweza kuijaza vizuri tu.Mambo mengine bana.
 
Back
Top Bottom