Hakuna jipya hapo, picha ndio limeshaisha.
Sio ajabu kujiita Kinyesi maana umefanana nachoThe last kick of a dying horse.
Unajiongelesha tu hata uwezo wa kutoka nyumbani kwako huna!Binafsi Niko tayari kwa lolote, muda wowote, mahali popote.. nitasonga front.
#HakiKwanzaAmaniYaKweliInafata
Pamoja sana.Uchaguzi umeshaisha jamani. Kwa sasa tujenge nchi.
Kama najiongelesha na wewe jisikilizishe.Unajiongelesha tu hata uwezo wa kutoka nyumbani kwako huna!
Iringa tunaandaa mashamba kuwahi mvua mtuache.Safi sana Chadema na ACT. Haya ndo maamuzi niliyokuwa nayatarajia. Tukikalia kimya udhalimu huu nawahakikishieni, watanzania kwenye hii miaka 5 tunaenda kuchinjwa kama kuku...
Jumatatu sio mbali, toka pamoja na familia yako!Kama najiongelesha na wewe jisikilizishe.
Safi sana Chadema na ACT. Haya ndo maamuzi niliyokuwa nayatarajia. Tukikalia kimya udhalimu huu nawahakikishieni, watanzania kwenye hii miaka 5 tunaenda kuchinjwa kama kuku...
Wewe endelea kukaa kwenye mkeka msaidie mkeo kuchambua mchele.Jumatatu sio mbali,toka pamoja na familia yako!
Exactly!Wewe endelea kukaa kwenye mkeka msaidie mkeo kuchambua mchele.
Kuna mwandishi kauliza swali zuri sana kwamba itawezekana vipi kuundwa kwa tume huru alafu vyombo vya usalama vibakie kama vilivyo?Huna jipya, unakazania tu wagomee uchaguzi nothing else, ukiambiwa mbona walishagoma hakuna kilichobadilika huna majibu, akili imekuganda kama jiwe.
VIJANAA wenzangu msije mkajifanya mmepagawa na nyie mkaandamana na hao wana siasa ....we waangalie tyuu wenyewe wafanye maandamano yao ..bado tuna vingii vyakufany kwny maisha na family .....yaan mtapigwaaa .....vibayaa sanaa yaan atakaye sapot iv vituu hatokuja kusahau katik maisha yak kama atakuwa hai
Unajengaje nchi ikiwa watu wamegawanyika hivi? Taifa limejaa huzuni HAIJAPATA TOKEA!! Tunauona mwanzo wa Udikiteta katika historia ya nchi hii nzuri yenye upendo miongoni mwa wananchi Na sasa Kuna Kundi limeanza kutugawa kutujaza chuki kwenye mioyo yetu...Hili kundi lipokee laana ktk maisha yao na vizazi vyaooo!!!Uchaguzi umeshaisha jamani. Kwa sasa tujenge nchi.
Unajengaje nchi ikiwa watu wamegawanyika hivi? Taifa limejaa huzuni HAIJAPATA TOKEA!! Tunauona mwanzo wa Udikiteta katika historia ya nchi hii nzuri yenye upendo miongoni mwa wananchi Na sasa Kuna Kundi limeanza kutugawa kutujaza chuki kwenye mioyo yetu...Hili kundi lipokee laana ktk maisha yao na vizazi vyaooo!!!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Sanaa mwanaumee we nendaa ....msijee mkaanza kutusumbua kuomba michango ya matibabu ...ππππUoga wako mpelekee mkeo nyumbani. Acha wanaume tuingie kazini.