CHADEMA kumwomba Rais Samia aingilie kati kesi ya Mbowe ni kutaka Katiba ya JMT ivunjwe. Nchi hii ina mihimili mitatu iliyo na mamlaka kamili

Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.

Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?

Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.

My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.
Kama nchi inaendeshwa kisheria rejea kauli ya jaji mkuu mstaafu juu ya vimemo vinavyopelekwa kwa majaji kutoka kwz viongozi kuhusu maamuzi ya kesi.
Wabunge 19 wasio na chama wanafanyanini Bungeni? Swli hili limekuwa likiulizwa na viongozi wa CCM.
 
Back
Top Bottom