CHADEMA kumwomba Rais Samia aingilie kati kesi ya Mbowe ni kutaka Katiba ya JMT ivunjwe. Nchi hii ina mihimili mitatu iliyo na mamlaka kamili

Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
1,982
2,000
Wanamuhadaa Hangaya aingilie mahakama waseme ni dikiteta anaingilia mpaka Mahakama.
Hangaya ulishateua majaji acha wapige kazi we endelea kujitambulisha kwa majirani.
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
3,997
2,000
Mashabiki wa sabaya si ni ccm au? Kwahiyo akili za chadema na ccm zinafanana?
Tofauti yao ni kuwa mmoja anatafuna keki ya taifa and mwingine anaitamani keki hiyo na yupo tayari kufanya lolote ili aikwapue kwa mwenzake!! Mengine yote wanafanana, majambazi wakubwa
 
Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,531
2,000
Separation of powers ?! Seriously Chagu wa Malunde !!

Mahakimu & majaji wanaovizia teuzi za mshtaki mkuu ?! Rafiki yako Maghufuli alipoambiwa kuhusu separation of powers. Alijibu kuna mhimili uliojichimbia zaidi. Kisa anamiliki hazina !!. Çan you imagine
Checks and balance jaduong lazima iwepo. Lazima kuwepo na kuchunguliana kati ya mhimili moja na mwingine, lakini sio kuingilia majukumu.
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
3,843
2,000
Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.

Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?

Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.

My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.
Mahakama hazipo huru Tanzania,hukumu kama Zina maslahi na Serikali,mahakimu,majaji huwa hawafati sheria,husubili maelekezo ya Serikali,sasa watu kama wewe kujifanya Hilo hamlijuhi,na kutaka kutuaminisha kwamba mahakama zetu zipo huru kama za nchi zingine,mfano Israel,South Afrika,Zambia,USA,au UK,ni ukichaa.
"Mkurugenzi,nikupe ajira, nikupe gari,harafu umtangaze mpinzani kwamba kashinda"hayo ni maneno aliyoyasema Shetani Jiwe(JPM),wote tunajua kilichofuata kwenye uchaguzi,wizi na ubakaji wa demokrasia.
Harafu mpuuzi mmoja anakuja hapa anataka atuaminishe mahakama zinatenda haki pale ambapo serikali ina maslahi na kesi husika.
Serikali Haina maslahi na kesi ya Sabaya,inataka ashindwe na afungwe,
Kwenye kesi ya Mbowe,serikali inataka kushinda kwa lazima,lazima itacheza lafu tu
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,590
2,000
Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.

Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?

Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.

My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.
Hawa CDM hakuna kuwalegezea hata kidogo. Wenyewe si ndiyo wamelianzisha kuanzia kutumishiana misuli na Rais. Waache wakione cha mtema kuni.

Samia aliwaambia suala la Katiba lisubiri ajenge uchumi, wakasema hawambembelezi. Halafu wakasema watamnyoa kwa wembe ule ule waliomnyolea mtangulizi wake (MDUDE).

Wacha tuonyeshane makali maana wao wanajifanya wanajuwa sana Katiba mpya kuliko Watanzania wengine, wakati Mbowe hawaruhusu hata kugombea kiti cha Mwenyekiti wa CHADEMA kuanzia mwaka 2003. No retreat no surrender mpaka kieleweke
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
9,505
2,000
Kesi ya Mdude tulisema alishinda kesi, ni vyema tukapambana tena kisheria ili na hii kesi tushinde...tulipaswa kupaza sauti kuachiwa kwa Mdude na dola na sio kushupaza shingo eti tumeshinda kesi...hii inatufanya tuonekana walalamishi hasa favor inapokuwa haipo kwetu.

tujifunze kuwa na akiba ya maneno pamoja na tolerance kwenye mambo haya.
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
15,208
2,000
Hawa CDM hakuna kuwalegezea hata kidogo. Wenyewe si ndiyo wamelianzisha kuanzia kutumishiana misuli na Rais. Waache wakione cha mtema kuni.

Samia aliwaambia suala la Katiba lisubiri ajenge uchumi, wakasema hawambembelezi. Halafu wakasema watamnyoa kwa wembe ule ule waliomnyolea mtangulizi wake (MDUDE).

Wacha tuonyeshane makali maana wao wanajifanya wanajuwa sana Katiba mpya kuliko Watanzania wengine, wakati Mbowe hawaruhusu hata kugombea kiti cha Mwenyekiti wa CHADEMA kuanzia mwaka 2003. No retreat no surrender mpaka kieleweke
Kama WaTz wenye mawazo kama yako. Ndiyo umasikini umeizinga Tanganyika .

Kumbe wewe unaona kuwa na Rais mwenye misuli dhidi ya raia wake ni mafanikio ?!
Ujinga utawaisha lini ? Haya mambo tunaenda nayo wapi ?! Mbona magu hajaenda nayo ?!
 
Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Sep 4, 2018
3,781
2,000
Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.

Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?

Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.

My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.
mjinga wa kutupwa
 
voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
652
1,000

Umesema kweli 100% mkuu.hao hao ndio wanaomba katiba mpya wakati wanavunja hata hii ya sasa.
 
Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,531
2,000
Kama WaTz wenye mawazo kama yako. Ndiyo umasikini umeizinga Tanganyika .

Kumbe wewe unaona kuwa na Rais mwenye misuli dhidi ya raia wake ni mafanikio ?!
Ujinga utawaisha lini ? Haya mambo tunaenda nayo wapi ?! Mbona magu hajaenda nayo ?!
Jaduong acha hasira, tujadili jambo la msingi.
 
Bulamba

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
11,439
2,000
Je kumfunga Mbowe kuna faida gani kwa mlala hoi?

Je kumfunga Mbowe kuna faida gani kwa wenye mamlaka??

Tuanzie apo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom