Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,069
kila kitu kipo kwenye maandishi?kuna baadhi ya wanafunzi waliomba kwa mfano $10,000/= per year na akapiga mi-signature yake....bodi ikatuma $9000/=, je mtu kama huyo malipo yake itakuwaje kwani documents zinaonyesha alikopa $10,000/=, msaada plz...