Majina ya wadaiwa sugu wa bodi ya mikopo hadharani wiki ijayo

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Wizara ya Elimu imesema kuwa wiki ijayo itayatangaza hadharani majina ya waajiriwa wanaodaiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini.
 
Kuyatangaza majina tu haitoshi maana wengi hatuwajui, tunataka kusikia hatua zitakazochukuliwa
 
Hii habari imekaa mguu pande. .. waajiri walitumiwa waraka wa kuwataka kulipa marejesho ya mikopo kwa waajiriwa waliokopeshwa. . Sorry. .. Kopa. . Sasa inakuwaje kutoa majina ya "waajiriwa" kama waajiri hawataki kuwakilisha malipo ya mkopo kwenye bodi ya mikopo?
 
Wizara ya Elimu imesema kuwa wiki ijayo itayatangaza hadharani majina ya waajiriwa wanaodaiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini.
Sasa kama waajiriwa Wanaodaiwa wanajulikana, kwanini wasiwakate mishahara yao?
 
Back
Top Bottom